Swali limeulizwa huko:-kwanini wanaume hampendi kuongozana na wake zenu?

Swali limeulizwa huko:-kwanini wanaume hampendi kuongozana na wake zenu?

Mwanaume ni kichwa, kiongozi, mtengeneza njia na mnyoshaji mapito
Hiyo ndiyo ishara na dalili ya hilo šŸ˜€
 
Wakati unamuokota anajifanya ni malaika, anaficha makucha, ukimchukua ndio majanga full!
Tatizo ninali liona ni sisi wanaume kutojipa muda wa kutosha kumfahamu mwenza unae hitaji kuishi nae.
Ijue background yake, wajue marafiki zake, ijue familia yake, faham anapendelea nini na madhalika nakadhalika...
 
Back
Top Bottom