Swali: Mbinguni Kuna sikukuu ya Christmas 25 December?

Narudia,

Imani juu ya uwepo wa Mungu inaanza ktk hatua ya kwanza,

Uhakika Inakuja hatua ya pili,

Hatua ya tatu ni kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Sasa wewe unataka mavuno pasi kuanza na kupanda mbegu.

Fuata hatua hizo twende pamoja.
Unahakikishaje na kujuaje kuwa imani yako kuwa Mungu yupo si potofu na Mungu yupo kweli?
 
Kwa sababu nimefuata hatua sahihi.

Karibu nikuthibitishie uwepo wa Mungu baada ya kufuata hatua hizo kwanza🙏
 
Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.
Amini Kuna Mungu, amini Kuna Mbingu,

Kisha nitakuwa kwenye line nzuri ya kujuthibitishia uwepo wa Mungu na Mbingu.

Imani ni kuwa na HAKIKA, amtafutaye Mungu,

Hatua ya kwanza, sharti aamini kuwa Mungu yupo.

Do you believe?
 
NENO la Mungu limethibitishwa kuwa Kweli na halihitaji msaada wa mapokeo ya WANADAMU.

Na Kwa majibu Yako unajaribu kusema mapokeo kuhusu kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapokeo ya WANADAMU ya ayostahili kupokelewa bila kuhojiwa na Wana wa Mungu?
Hujajibu maswali niliyokuuliza , rejea na ujibu tena
 
Yesu kristo kazaliwa machi 20.
Kwanini tusherehekee Christmas 25 December?
25 December ni sikukuu ya Wapagani , Yesu Kristo alipokuja kavunja ngome za kipagani hivyo kanisa tunasherehekea ushindi wa kuushinda upagani na kazi za Kipagani (Ibilisi) 25.
Yaani hii maana yake shetani kafungwa home.
Kuwa na amani kale Krismasi
 
Nimekujibu,

Labda useme nimejibu usiyotaka kusikia.

BIBLIA imeandikwa na watumishi wa Mungu Kwa msaada wa Roho mtakatifu.

Roho mtakatifu ndiye aliye thibitishwa kuwa msaada wa wakristo wakutanapi na maswali kadhaa wa kadhaa,

Sasa hao wakatoliki walioleta hayo mapokeo na upagani ndani ya Kanisa, waulize wameipata msaada Toka Kwa nani!

Karibu 🙏
 
Salaam, Shalom!

Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;

(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "

Swali no 1.
Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni?

Swali no 2:
Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December tarehe hiyo hiyo pakiwa na sherehe hizo hizo Mbinguni?

Na msingi wa SWALI hili ujibiwe kupitia Katiba yetu Wana wa Mungu iitwayo BIBLIA.

Karibuni 🙏
Haipo kwenye Biblia na mbinguni pia haipo!
 
Yesu kristo kazaliwa machi 20.
Kwanini tusherehekee Christmas 25 December?
25 December ni sikukuu ya Wapagani , Yesu Kristo alipokuja kavunja ngome za kipagani hivyo kanisa tunasherehekea ushindi wa kuushinda upagani na kazi za Kipagani (Ibilisi) 25.
Yaani hii maana yake shetani kafungwa home.
Kuwa na amani kale Krismasi
Unaamini Yesu kupitia Roho wake mtakatifu angetaka tuijue tarehe alitozaliwa Ili tusherehekee siku hiyo angeshindwa kutuambia?
 
Amini Kuna Mungu, amini Kuna Mbingu,

Kisha nitakuwa kwenye line nzuri ya kujuthibitishia uwepo wa Mungu na Mbingu.

Imani ni kuwa na HAKIKA, amtafutaye Mungu,

Hatua ya kwanza, sharti aamini kuwa Mungu yupo.

Do you believe?
This is circular logic fallacy.

"Circular reasoning, also known as "begging the question", is a logical fallacy where the conclusion is assumed to be true without providing evidence. It's a pragmatic argument defect where the premises need as much proof as the conclusion. Instead of offering evidence, the argument repeats the conclusion, making it logically incoherent. It's like using a claim to "prove" the reasons for the claim are true."

Nimekujibu,

Labda useme nimejibu usiyotaka kusikia.

BIBLIA imeandikwa na watumishi wa Mungu Kwa msaada wa Roho mtakatifu.

Roho mtakatifu ndiye aliye thibitishwa kuwa msaada wa wakristo wakutanapi na maswali kadhaa wa kadhaa,

Sasa hao wakatoliki walioleta hayo mapokeo na upagani ndani ya Kanisa, waulize wameipata msaada Toka Kwa nani!

Karibu 🙏

Unachokiongea kipo sawa Ila ningeomba usome historia ya Biblia na Kanisa kukupa mwangaza maana unayoyaongea yanahitaji usahihi wa hoja na sio tu kusema yale uliyomezeshwa.

Ubaya zaidi ni pale unapotoa general answer kwa specific questions na bado ukahisi umejibu. Kuna mijadala inahitaji facts na si kuongea kumaliza . Jifunze hilo mkuu 🙏🏽🙏🏽
 
This is circular logic fallacy.

"Circular reasoning, also known as "begging the question", is a logical fallacy where the conclusion is assumed to be true without providing evidence. It's a pragmatic argument defect where the premises need as much proof as the conclusion. Instead of offering evidence, the argument repeats the conclusion, making it logically incoherent. It's like using a claim to "prove" the reasons for the claim are true."

Uko hatua za chini sana,

Huwezi kujadiliana nami chochote kumhusu Mungu ikiwa huamini uwepo wake Kwa hatua ya kwanza na hujamtafuta ukamkosa Kisha kuja na conclusion kuwa hayupo.

Mwamini Mungu Kisha tupige hatua ingine mbele zaidi.

Karibu 🙏
 
Salaam, Shalom!

Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;

(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "

Swali no 1.
Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni?

Swali no 2:
Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December tarehe hiyo hiyo pakiwa na sherehe hizo hizo Mbinguni?

Na msingi wa SWALI hili ujibiwe kupitia Katiba yetu Wana wa Mungu iitwayo BIBLIA.

Karibuni 🙏
Kabla ya kujiuliza hayo yote boss wangu, anza kwanza kwa kujiuliza kuwa Yesu alikuwa ni muumini wa dhehebu gani?? Kwanini Yesu mmoja ila madhehebu japo zaidi ya 100?? Je, lipi ni dhehebu sahihi??
 
Mbinguni hakuna madhehebu,

Likewise Duniani ukifungwa ndani ya gerezani la dini na madhehebu, uwe na HAKIKA hutimizi mapenzi ya Mungu yaliyo Mbinguni ambayo angependa yatimizwe duniani.

Mbinguni Kuna WATAKATIFU, duniani pia Kuna WATAKATIFU, hao ndio wenye password ya kuingia Mbinguni.

Ni waliomkiri YESU KRISTO kuwa BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA Yao na kuishi MAISHA ya utakatifu.
 
Cha kushangaza, father Christmas yupo kuzimu akiendeleza harakati za kuhakikisha ujumbe wa msalaba hauhubiriwi duniani Ili maelfu waje kuungana naye kuzimu.

Wana wa Mungu stukeni.
 
Uko hatua za chini sana,

Huwezi kujadiliana nami chochote kumhusu Mungu ikiwa huamini uwepo wake Kwa hatua ya kwanza na hujamtafuta ukamkosa Kisha kuja na conclusion kuwa hayupo.

Mwamini Mungu Kisha tupige hatua ingine mbele zaidi.

Karibu 🙏
Thibitisha Mungu yupo, thibitisha mbingu ipo.

"It us undesirable to believe a proposition when there is no ground whatever for supposing it true" - Bertrand Russell.

Unanitaka niamini Mungu yupo, wakati hakuna ushahidi wowote kwamba Mungu yupo.

Kwa nini niamini Mungu yupo wakati hakuna ushahidi wowote kwamba yupo?
 
Salaam, Shalom!

Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;

(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "

Swali no 1.
Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni?

Swali no 2:
Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December tarehe hiyo hiyo pakiwa na sherehe hizo hizo Mbinguni?

Na msingi wa SWALI hili ujibiwe kupitia Katiba yetu Wana wa Mungu iitwayo BIBLIA.

Karibuni 🙏
Usiku ule Yesu Kristo anazaliwa duniani, Mbinguni ilikuwa sherehe. Tena malaika wakawatokea wale wachungaji wakimsifu Mungu kwa shangwe kuu wakiimba;

Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni, na amani duniani kwa watu aliowaridhia.

Christmas si ndio kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo? Ulitaka ishara gani zaidi ya hiyo? Kwamba kila mwaka siku ya kumbukumbu hiyo wawe wanashuka ili uamini Mbinguni kunakuwa na sherehe?
 
Back
Top Bottom