Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Una uhakika mbingu ipo kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejibu vyema sana kwamba palikuwa na kusherehekea Kuzaliwa Kwa Yesu Mbinguni na duniani tena Ukitumiwa andiko lililo wazi.Usiku ule Yesu Kristo anazaliwa duniani, Mbinguni ilikuwa sherehe. Tena malaika wakawatokea wale wachungaji wakimsifu Mungu kwa shangwe kuu wakiimba;
Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni, na amani duniani kwa watu aliowaridhia.
Christmas si ndio kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo? Ulitaka ishara gani zaidi ya hiyo? Kwamba kila mwaka siku ya kumbukumbu hiyo wawe wanashuka ili uamini Mbinguni kunakuwa na sherehe?
Shida ni Desemba 25 au shida ni Yesu hakuzaliwa?Umejibu vyema sana kwamba palikuwa na kusherehekea Kuzaliwa Kwa Yesu Mbinguni na duniani tena Ukitumiwa andiko lililo wazi.
Ulipokosea, ni kutokueleza ni wapi na lini palifanyika makubaliano ya kuasfimisha sikukuu hiyo tarehe 25 December?
Unajua chanzo na chimbuko la mapokeo ya kusherehekea sikukuu ya December 25 kuingiza Kanisani?
Yaani iweje sherehe za Ibada za miungu igeuzwe kuwa ya Kuzaliwa Kwa Yesu?
Ni nani anaabudiwa hapo?
Karibu 🙏
December 25 ni sikukuu ya miungu.Shida ni Desemba 25 au shida ni Yesu hakuzaliwa?
Mbinguni ni wapi? Labda tuanzie hapo.Salaam, Shalom!
Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;
(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "
Swali no 1.
Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni?
Swali no 2:
Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December tarehe hiyo hiyo pakiwa na sherehe hizo hizo Mbinguni?
Na msingi wa SWALI hili ujibiwe kupitia Katiba yetu Wana wa Mungu iitwayo BIBLIA.
Karibuni 🙏
Msingi wa swali lako ni kukosoa tarehe ya Christmas 25 dec hakuna jingine.Salaam, Shalom!
Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;
(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "
Swali no 1.
Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni?
Swali no 2:
Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December tarehe hiyo hiyo pakiwa na sherehe hizo hizo Mbinguni?
Na msingi wa SWALI hili ujibiwe kupitia Katiba yetu Wana wa Mungu iitwayo BIBLIA.
Karibuni 🙏
(Isaya 66:1)Mbinguni ni wapi? Labda tuanzie hapo.
... miungu ni mikuu kuliko Mungu? Kwamba miungu Ina uwezo wa kumpoka Mungu siku yoyote kwa ajili ya jambo lao na Mungu asiwe na la kufanya?December 25 ni sikukuu ya miungu.
Ndipo ulipo mzizi wa HOJA ya Leo.
Kusherehekea Kuzaliwa Kwa Yesu ni duniani kote hapa na Mbinguni .
Na ndipo swali linapokuja, Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December?
Karibu 🙏
Na ndio msingi wa HOJA yangu,... miungu ni mikuu kuliko Mungu? Kwamba miungu Ina uwezo wa kumpoka Mungu siku yoyote kwa ajili ya jambo lao na Mungu asiwe na la kufanya?
Uzuri unaamini Yesu alizaliwa; usingaliamini hivyo mjadala usingekuwa na maana. Iko hivi, kwa kuwa waamini hivyo (alizaliwa), chagua siku yoyote uonayo muafaka kwako (ambayo miungu haina nguvu kuliko Mungu unayemwabudi) usherehekee Krismasi yako kama unaona ina umuhimu. Simple!
Huko ndio kupotea,. Hata wateule hudanganywa na kudanganyika na/au kufuata dini badala ya neno la MunguSasa Wana wa Mungu kwanini wahangaike na maagizo yasiyotokana na their Master Jesus?
Ungependekeza Krismasi iadhimishwe lini labda? Maana usiwe mtu wa lawama tu bila solution!Na ndio msingi wa HOJA yangu,
Wana wa Mungu wajue 25 December ni siku ya kusherehekea Ibada ya miungu iliyoingizwa Kanisani Kwa Siri kupitia upagani Ili miungu iabudiwe Kwa kudhani ni siku alitozaliwa Yesu wakati Si Kweli kwamba alizaliwa 25 December.
Ni mapenzi ya Mungu Au ya WANADAMU kusherehekea Christmas tarehe 25 December?Hata Duniani X Mass haikuwa tarehe hio hapo Mwanzo na hizi siku tumeziweka ziwe convenient kwetu has nothing to do na Imani au Kitabu na hata tukiona kwamba X Mass itakuwa vema iwe June na Pasaka December bado itakuwa Vema na itakuwa Asubuhi, Itakuwa Jioni na Siku zitaendelea
Kuadhimisha Christmas ni lifetime experience Kwa WATAKATIFU,Ungependekeza Krismasi iadhimishwe lini labda? Maana usiwe mtu wa lawama tu bila solution!
What do you mean by lifetime experience? But hakuna aliyelazimishwa kusherehekea Krismasi - kaa mbali nayo if you don't like.Kuadhimisha Christmas ni lifetime experience Kwa WATAKATIFU,
Si kuhusisha maadhimisho ya Ibada za miungu isherehekewe na Wana wa Mungu tarehe 25 December!!
Unategemea mtu akujibu wakati haya ni mambo ya Imani (anavyoamini yeye kichwani mwake); sababu hata hizi siku za masaa 24 enzi za mababu hazikuwa hivyo hata miaka haikuwa na miezi 12..., lakini kutokana na trial and error and what works best waliona iwe na miezi 12....Ni mapenzi ya Mungu Au ya WANADAMU kusherehekea Christmas tarehe 25 December?
Na Mbinguni sherehe hiyo huadhimishwa 25 December?
Hivi ukikuta watoto wadogo wanaulizana thibitisha wewe ulitoka tumboni mwa mama yako,unadhani kuna mtoto anaweza kuthibitisha hilo?Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.