Unahakikishaje na kujuaje kuwa imani yako kuwa Mungu yupo si potofu na Mungu yupo kweli?Narudia,
Imani juu ya uwepo wa Mungu inaanza ktk hatua ya kwanza,
Uhakika Inakuja hatua ya pili,
Hatua ya tatu ni kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Sasa wewe unataka mavuno pasi kuanza na kupanda mbegu.
Fuata hatua hizo twende pamoja.
Kwa sababu nimefuata hatua sahihi.Unahakikishaje na kujuaje kuwa imani yako kuwa Mungu yupo si potofu na Mungu yupo kweli?
Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.Kwa sababu nimefuata hatua sahihi.
Karibu nikuthibitishie uwepo wa Mungu baada ya kufuata hatua hizo kwanzaπ
Amini Kuna Mungu, amini Kuna Mbingu,Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.
Hujajibu maswali niliyokuuliza , rejea na ujibu tenaNENO la Mungu limethibitishwa kuwa Kweli na halihitaji msaada wa mapokeo ya WANADAMU.
Na Kwa majibu Yako unajaribu kusema mapokeo kuhusu kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapokeo ya WANADAMU ya ayostahili kupokelewa bila kuhojiwa na Wana wa Mungu?
Nimekujibu,Hujajibu maswali niliyokuuliza , rejea na ujibu tena
Haipo kwenye Biblia na mbinguni pia haipo!Salaam, Shalom!
Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;
(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "
Swali no 1.
Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni?
Swali no 2:
Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December tarehe hiyo hiyo pakiwa na sherehe hizo hizo Mbinguni?
Na msingi wa SWALI hili ujibiwe kupitia Katiba yetu Wana wa Mungu iitwayo BIBLIA.
Karibuni π
Unaamini Yesu kupitia Roho wake mtakatifu angetaka tuijue tarehe alitozaliwa Ili tusherehekee siku hiyo angeshindwa kutuambia?Yesu kristo kazaliwa machi 20.
Kwanini tusherehekee Christmas 25 December?
25 December ni sikukuu ya Wapagani , Yesu Kristo alipokuja kavunja ngome za kipagani hivyo kanisa tunasherehekea ushindi wa kuushinda upagani na kazi za Kipagani (Ibilisi) 25.
Yaani hii maana yake shetani kafungwa home.
Kuwa na amani kale Krismasi
This is circular logic fallacy.Amini Kuna Mungu, amini Kuna Mbingu,
Kisha nitakuwa kwenye line nzuri ya kujuthibitishia uwepo wa Mungu na Mbingu.
Imani ni kuwa na HAKIKA, amtafutaye Mungu,
Hatua ya kwanza, sharti aamini kuwa Mungu yupo.
Do you believe?
Sasa Wana wa Mungu kwanini wahangaike na maagizo yasiyotokana na their Master Jesus?Haipo kwenye Biblia na mbinguni pia haipo!
Nimekujibu,
Labda useme nimejibu usiyotaka kusikia.
BIBLIA imeandikwa na watumishi wa Mungu Kwa msaada wa Roho mtakatifu.
Roho mtakatifu ndiye aliye thibitishwa kuwa msaada wa wakristo wakutanapi na maswali kadhaa wa kadhaa,
Sasa hao wakatoliki walioleta hayo mapokeo na upagani ndani ya Kanisa, waulize wameipata msaada Toka Kwa nani!
Karibu π
Uko hatua za chini sana,This is circular logic fallacy.
"Circular reasoning, also known as "begging the question", is a logical fallacy where the conclusion is assumed to be true without providing evidence. It's a pragmatic argument defect where the premises need as much proof as the conclusion. Instead of offering evidence, the argument repeats the conclusion, making it logically incoherent. It's like using a claim to "prove" the reasons for the claim are true."
Avoiding the Pitfalls of Circular Reasoning - ASAT Online
In this article, the dangerous implications of circular reasoning are discussed, including describing people with autism poorly and failing to intervene.asatonline.org
Kabla ya kujiuliza hayo yote boss wangu, anza kwanza kwa kujiuliza kuwa Yesu alikuwa ni muumini wa dhehebu gani?? Kwanini Yesu mmoja ila madhehebu japo zaidi ya 100?? Je, lipi ni dhehebu sahihi??Salaam, Shalom!
Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;
(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "
Swali no 1.
Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni?
Swali no 2:
Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December tarehe hiyo hiyo pakiwa na sherehe hizo hizo Mbinguni?
Na msingi wa SWALI hili ujibiwe kupitia Katiba yetu Wana wa Mungu iitwayo BIBLIA.
Karibuni π
Waliolala na waamke,
Mbinguni hakuna madhehebu,Kabla ya kujiuliza hayo yote boss wangu, anza kwanza kwa kujiuliza kuwa Yesu alikuwa ni muumini wa dhehebu gani?? Kwanini Yesu mmoja ila madhehebu japo zaidi ya 100?? Je, lipi ni dhehebu sahihi??
Thibitisha Mungu yupo, thibitisha mbingu ipo.Uko hatua za chini sana,
Huwezi kujadiliana nami chochote kumhusu Mungu ikiwa huamini uwepo wake Kwa hatua ya kwanza na hujamtafuta ukamkosa Kisha kuja na conclusion kuwa hayupo.
Mwamini Mungu Kisha tupige hatua ingine mbele zaidi.
Karibu π
Usiku ule Yesu Kristo anazaliwa duniani, Mbinguni ilikuwa sherehe. Tena malaika wakawatokea wale wachungaji wakimsifu Mungu kwa shangwe kuu wakiimba;Salaam, Shalom!