Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hili lilitabiriwa mtu mzito, japo sina hakika kama ni yeye. Ila kuna jambo lonakujaHuu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unaenda kumaliza wengi sana
Kilichomuua Ndungulile uliambiwa?Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Huu mwaka kuna jambo linakuja.Huu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unaenda kumaliza wengi sana
Aliowataja Polepole kuwa alizungumza nao wanaanza kuondolewa mmoja baada ya mwingine.Hili lilitabiriwa mtu mzito, japo sina hakika kama ni yeye. Ila kuna jambo lonakuja
Ngoja tuoneHuu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unaenda kumaliza wengi sana
Umetoa hint muhimu sana hii.Kugombea Ubunge haukua uamuzi wa busara kwake,
Pm alistuka akakaa Pembeni.
Bila Wazungu kupiga kelele Lissu alikuwa amaliziwe seloAliowataja Polepole kuwa alizungumza nao wanaanza kuondolewa mmoja baada ya mwingine.
Sukuma Gang ni wakatili ila Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu wabaya sana.
Siri kaliHii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Kilichomuua Ndungulile uliambiwa?
Zamani sana. Hata hivyo wanaweza kumfanyia mabaya bado.Bila Wazungu kupiga kelele Lissu alikuwa amaliziwe selo
Hawa ndio wanajifanya wana siri ya akina nani walimuua dhalimu magu. Lazima wamalizane safari hii.Aliowataja Polepole kuwa alizungumza nao wanaanza kuondolewa mmoja baada ya mwingine.
Sukuma Gang ni wakatili ila Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu wabaya sana.