kabwe katal
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 264
- 289
Mgeni na hao watu mkuu.Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Mgeni na hao watu mkuu.Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Kumbe na we ulisikia ule utabiri/unabiiKichupa cheusi
Sio kweli !Alishindwa kusoma alama za nyakati , Hawa walisahau kuwa Katiba mpya ni muhimu wakaamua kutaka kumpa mtu mmoja miaka aongoze maisha
Huyu alimtoa lisu bungeni akisema hajui alipo kiko wapi??Hawa ndio wanajifanya wana siri ya akina nani walimuua dhalimu magu. Lazima wamalizane safari hii.
Halafu style ya huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa sio kitu kizuri.Aliowataja Polepole kuwa alizungumza nao wanaanza kuondolewa mmoja baada ya mwingine.
Sukuma Gang ni wakatili ila Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu wabaya sana.
Kwamba aliandika ya kujiu!ulu kwenda kwq makamu wa mwenyekiti wa ccm badala ya bungeHii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
kwani ni mkali wa hizi nazo?Warioba unamsikia tu, humjui.
Wanawindana vikali acha tuone ila siku akifa bonge la dada na mzoga wake itakuwa vyema sanaHuu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unaenda kumaliza wengi sana
Kaka taarifa zitatolewa tu baadae.Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Nilijiuliza kwanini aliamua kugombea, nikakosa majibu.Kugombea Ubunge haukua uamuzi wa busara kwake,
Pm alistuka akakaa Pembeni.
Huu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unaenda kumaliza wengi sana
KafishwaHii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Angestuka asingetangaza kutaka kugombea.Kugombea Ubunge haukua uamuzi wa busara kwake,
Pm alistuka akakaa Pembeni.
Akipatiwa matibabu kwenye Moja ya hospitaliHii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Ndio tamaa zimewaponza ,wenzie wamestaafu yeye alikuwa anakomalia nini? Wenzake watamuacha?Kugombea Ubunge haukua uamuzi wa busara kwake,
Pm alistuka akakaa Pembeni.