Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Aliowataja Polepole kuwa alizungumza nao wanaanza kuondolewa mmoja baada ya mwingine.

Sukuma Gang ni wakatili ila Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu wabaya sana.

Mtandao ni moja ya vitu hatari kutokea kwenye hili Taifa. Na siku zinavoenda, ndio wanazidi kuonyesha uchu wa kupata nguvu zote.

Ila tusisahau pia, mbio za panya sakafuni, huwa zinaishia ukingoni
 
Mtandao ni moja ya vitu hatari kutokea kwenye hili Taifa. Na siku zinavoenda, ndio wanazidi kuonyesha uchu wa kupata nguvu zote.

Ila tusisahau pia, mbio za pacha sakafuni, huwa zinaishia ukingoni
Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu hatari sukuma gang hawaoni ndani.

Alafu operations zao ndo hivi. Kimya kimya. Unasikia tu mtu hayupo.

Bila Wazalendo kuamua kweli hii nchi ndo basi tena.

Siku si nyingi tujiandae kusikia Mzee Warioba is no more.
 
Tumefika njia ambayo, watapandana usoni. RIEP Job Ndugai. Mzee wa Yelusalemu
 
Ndungai alikuwa mgonjwa muda mrefu, humu jf watu mmelalamika Ndungai kutukia mamilioni ya pesa za Bunge kwenda kujitibu bila utaratibu afu mnakuja hapa kuuliza ugonjwa?.

Kuweni serious asee....... Kwanza Ndungai ni adui wa Nchi ndii ametifikisha hapa wacha apumzike na sisi tutafuata...
 
Back
Top Bottom