Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?

1. Kafia nyumbani?

2.Kafia hospitalii?

3. Kafariki ghafla?
"Na maisha ya dunia haya ni ila ni mchezo na pumbao. Na nyumba ya Akhera ni bora kwa wanao mcha Mungu. Basi hamfahamu?"
— Surat Al-An'am (6:32)



Aya nyingine pia inasema:

"Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujigamba baina yenu, na kushindana kwa wingi wa mali na watoto..."
— Surat Al-Hadid (57:20)
 
Halafu style ya huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa sio kitu kizuri.

Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi.
Kati ya makosa aliyoyafanya pole pole ni hilo, inaonekana hao wazee ndio dip steti
 
hivi unafikiri, how do minority rule over majority? ni kwa kutumia terror, assasinations, na kila kitu, iiko hivyo tangia mwanzo wa dunia …
Ndio Dunia hiyo mwenye Nguvu mpishe au ungana nae.

Wewe uko upande gani?
 
downloadfile.jpg
 
Job ndugai ni binaadam na kila binaadam ataonja umauti hivyo acha sababu mana hata ukipewa sababu haitomfaa marehemu.
 
Back
Top Bottom