Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Nje ya mada ; Samia hafai kuongiza Nchi hii, kifo cha ndugai hakiko mbali na mkono wake.
Kikubwa akiwa anaondoka ,aondoke na Zanzibar yao, hatuwataki tena kama wao wasivotutaka zaidi.
Kura ya maoni iitwe tuone kama huu muungano tunahuitaji , waende na zanzibar yao ili wakajijue kuwa bado kuna wapemba na waunguja waendelee kutengana.Mwl Nyerere aliongea hili na litatimia.
 
Dua za kuku hizi
 
Kutoka kuwa Speaker, then kurudi kwa wananchi wanakufokea na huna cha kuwafanya, ni trauma.Huyu Ndungai alikuwa kashiba mamlaka ya uspika hasa, huyu si ndo alimtandika mtu fimbo publically tena mwana-ccm mwenzie akazima kabisa.
Imagine watu wamekuandikia barua ya kujiudhuru, hujui hili wala lile - ghafla unakuwa outcast.Huyu Ndungai si ndo alihusika kwenye kupitisha kinga ya kutokushtakiwa, akajiweka humo.
Lazima kisukari na pressure ipige tu
 
Aliowataja Polepole kuwa alizungumza nao wanaanza kuondolewa mmoja baada ya mwingine.

Sukuma Gang ni wakatili ila Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu wabaya sana.

uzuri wa wanamtandao ukiwa huingii kwenye anga zao unaweza kuwa salama, ila ukiingia kwenye anga zao ni wanakuwa hatari sana. kwa upande wa Sukuma Gang vovote vile wewe upo hatarini.
 
Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu hatari sukuma gang hawaoni ndani.

Alafu operations zao ndo hivi. Kimya kimya. Unasikia tu mtu hayupo.

Bila Wazalendo kuamua kweli hii nchi ndo basi tena.

Siku si nyingi tujiandae kusikia Mzee Warioba is no more.

Mzee Warioaba hana madhara kwao.
 
Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?

1. Kafia nyumbani?

2.Kafia hospitalii?

3. Kafariki ghafla?
Tanzanians demands formal announcement and the cause, even though we may not agree with what will be presented, just like it was in the case of our beloved Jiwe ( RIP).
 
Mzee Warioaba hana madhara kwao.
Ni sahihi, Job angewasumbua kuelekea 2030 na hasa hata hii last term ya bibie angapata shida kwake, maana watakuwa wanajua ya kuwa anaaga so wasingemuogopa any more and there could be increased rebellions in the party and the general system. It could be a calculated timing of events. It is better Amb Slow2 ale cover kwanza huko huko atarudi after 2030 when his enemies are all retired and became harmless.
 
Nje ya mada ; Samia hafai kuongiza Nchi hii, kifo cha ndugai hakiko mbali na mkono wake.
Kikubwa akiwa anaondoka ,aondoke na Zanzibar yao, hatuwataki tena kama wao wasivotutaka zaidi.
Kura ya maoni iitwe tuone kama huu muungano tunahuitaji , waende na zanzibar yao ili wakajijue kuwa bado kuna wapemba na waunguja waendelee kutengana.Mwl Nyerere aliongea hili na litatimia.
Huyo Mwalimu ndie katuachia kirusi sisiem na katiba mbovu!
 
Back
Top Bottom