Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Huu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unaenda kumaliza wengi sana
Ndugai alijisahau sana wakati wa kampeni za kura ya maoni. Kuna mjuba alijifanya anamfuta vumbi na leso yake, akamaliza biashara
 
PM hakushtuka,....alishatangaza atagombea tena msimu huu. Baada ya hapo akashauriwa akae pembeni muda wake umepita...hakupenda ushauri .lakini akalazimika kukubali.
Ndugai ushauri umemfikia, ..amepuuza,..yamemfika yanayowafika wasiosikia.
Ni salaam kwa wasiosikia wengine

hivi kwa kulingana na ulivyoandika kifo ni adhabu kwa aliyekufa au waliobakia? usisahau kuna watu ambao hujiu kwa wenyewe pia …
 
Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?

1. Kafia nyumbani?

2.Kafia hospitalii?

3. Kafariki ghafla?
Wajumbe wanajua walifanya nini kwa Kazi Ndugai,
Marehemu hasemwi vibaya
 
Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?

1. Kafia nyumbani?

2.Kafia hospitalii?

3. Kafariki ghafla?
hivi siku hizi hakuna binadamu kufa kwa 'natural causes'?

Ndugai aliumwa na alilazwa India kwa miezi miwili sasa hapo lipi la ajabu?

Halafu akenda kujipandisha pressure kwa kugombea ubunge tena wakati alitakiwa apumzike tu kwani afya haikumruhusu. Kwanza ile kuzomewa tu na kuadhiriwa na vijana ni pressure tosha hata kama alipata ushindi.

RIP Ndugai
 
Kugombea Ubunge haukua uamuzi wa busara kwake,

Pm alistuka akakaa Pembeni.
Alichemka sana angetulia polepole nae kwanini alimtaja kwenye press zake polepole nae apunguze kutaja watu Aweke code kwenye majina sio vizuri kutaja majina kipindi kama ichi za uchaguzi maadui wengi
 
Back
Top Bottom