Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu hatari sukuma gang hawaoni ndani.

Alafu operations zao ndo hivi. Kimya kimya. Unasikia tu mtu hayupo.

Bila Wazalendo kuamua kweli hii nchi ndo basi tena.

Siku si nyingi tujiandae kusikia Mzee Warioba is no more.
😄 aise

Ova
 
Kugombea Ubunge haukua uamuzi wa busara kwake,

Pm alistuka akakaa Pembeni.
PM hakushtuka,....alishatangaza atagombea tena msimu huu. Baada ya hapo akashauriwa akae pembeni muda wake umepita...hakupenda ushauri .lakini akalazimika kukubali.
Ndugai ushauri umemfikia, ..amepuuza,..yamemfika yanayowafika wasiosikia.
Ni salaam kwa wasiosikia wengine
 
Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?

1. Kafia nyumbani?

2.Kafia hospitalii?

3. Kafariki ghafla?
Firaha ya ushindi kura za maoni, Mzee kaenda kapiliza dozi mambo ya midambaguro kumkomesha shemeji mjumbe.
 
Back
Top Bottom