Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,952
- 56,156
Sijasema neno "hatufi" usikurupukeMkipendana ndo hamfi?
Sijasema neno "hatufi" usikurupukeMkipendana ndo hamfi?
Hapana hakupaswa kustaafu maana angekuwa much weaker and out of system so angalau akiwa MP ilikuwa inamfanya Aendelee kuwa more relevant and connected kujua kinachoendelea na pia kuwa part ya kuandaa Team 2030. He was too old to retire from politics, ingawa amestaafishwa prematurely and permanently. May God rest his soul in Peace. RIP JBJObu ilibidi astaafu rasmi tu, sjui kwanini hata alichukua fomu,
Mkiweza tapikeni yote msiwe na soniKilichomuua Ndungulile uliambiwa?
Mmmh ngoja nipite,naona kila mmoja ana lake humu,watu hawaamini tena mapenzi ya mungu,bali mkono wa mtu.Zamani sana. Hata hivyo wanaweza kumfanyia mabaya bado.
Uzuri Lissu ana muku ya Mungu. Wakimdhuru wao na vizazi vyao vyote wajiandae.
Hapana hakupaswa kustaafu maana angekuwa much weaker and out of system so angalau akiwa MP ilikuwa inamfanya Aendelee kuwa more relevant and connected kujua kinachoendelea na pia kuwa part ya kuandaa Team 2030. He was too old to retire from politics, ingawa amestaafishwa prematurely and permanently. May God rest his soul in Peace. RIP JB
Acha na wewe kuturudisha Nyuma, Alisha tubu na kusamehewa, hata Hivyo the Enemy of your Enemy is Your Friend, he was no longer an enemy to your group, but an enemy of your enemy in that context. You were all facing now a common enemy , a worse enemy than it was during that pre 2020 period.Huyu alimtoa lisu bungeni akisema hajui alipo kiko wapi??
Let us discuss this after he has gone, not relevant for now.Nje ya mada.
Jakaya Mrisho Kikwete ni rais wa awamu ya ngapi?
Mbona kuna wazee zaidi yake na waliokuwa na vyeo zaidi yake bado hawataki kustaafu.Kwa cheo, umri na historia ya afya yake ulitakiwa apumzike.
He is the Next to depart according to the Leaked List from aboveWashukuru Mungu Refa wao bado yupo hai.
Refa wa msg gang akikata moto, sukuma watachukua ushindi wa mezani
It is obviously going to be there, the only matter is when.Kuna mmoja akifa, hiyo sherehe itakuwa kubwa na ya kitaifa.
Yeye hajamaliza awamu yake ya pili.SS pia aghairi kugombea.
Hizo zilikuwa ni rumours zenye chuki binfasi zilizokuwa zinaenezwa na February kwa utawala wa Awamu ya 5 INGAWA NAYE SASA SI MTOTO PENDWA TENA.Huyu alikuwa mgonjwa refer Kigogo2014 enzi hizo alisema huyu ni mwathirika
Job alimaliza?Yeye hajamaliza awamu yake ya pili.
Safi,Ndio.
Mbunge miaka 25 ,Naibu Spika na Spika
Kifo chake kina siri kubwaAcha na wewe kuturudisha Nyuma, Alisha tubu na kusamehewa, hata Hivyo the Enemy of your Enemy is Your Friend, he was no longer an enemy to your group, but an enemy of your enemy in that context. You were all facing now a common enemy , a worse enemy than it was during that pre 2020 period.
Simpendi!Nje ya mada.
Jakaya Mrisho Kikwete ni rais wa awamu ya ngapi?