Swali muhimu: Hivi mwenye cheti cha VETA analipwa sh. ngapi kwa mwezi?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa mtu anaenda degree anasoma human resource. Mwisho wa siku hapati kazi na alipwi kabisa, iyo degree inafaida gani?
 
Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sio lazima ukaajiliwe.shida yenu mnapenda kuajiliwa.fundi kwa day analipwa kuanzia 25000 .inategemeana na anafanya kazi gani.kuna kazi mfano ya skimming inaanzia 30,000hadi 35,000.

kazi ya alcobond kuanzia 30,000 hadi 50,000 kwa day.kupiga bati ni kuanzia 40,000.hapo ni fundi anayelipwa na fundi mwenzake anapoomba kazi.

ukiwa na kazi yako mwenyewe unauhakika wa kupata kuanzia 50,000 hadi 80,000 kwa day na hyo ni site moja.ukiwa na site 3 mpaka 5 unatengeneza kwa cku zaidi ya 250,000=.cha kwanza lazima ujiulize umesomea fan gani?.cc upande wetu kazi za finishing za nyumba ndio zinatulipa sana kuliko hata MTU mwenye digree
 
Ufundi bomba unaweza kujiajiri mkuu, ukuwa serious na maisha [emoji56][emoji56][emoji56].
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hapana aise sijawahi kuwaza kufanya kazi kama hiyo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapana aise sijawahi kuwaza kufanya kazi kama hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani lazima bomba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], veta kuna fani nyingine nyingine,
Kuna electrical, mechanical, electronics, etc.

Si lazima ulipwe, unafanya unajilipa mwenyewe.
Maisha ya kulipwa yanadumaza sana
 
Hzi kazi huwezi zifanya kwako kama huna pesa ndefu.ukiona hvyo ujue na fundi anakula pesa ndefu.nitafute nikufanyie jiko au master room yako uone mwonekano tofauti.View attachment 1944185View attachment 1944186View attachment 1944184View attachment 1944182View attachment 1944183View attachment 1944187View attachment 1944189
FB_IMG_1621527735891.jpg
View attachment 1944188
 
Sio lazima ukaajiliwe.shida yenu mnapenda kuajiliwa.fundi kwa day analipwa kuanzia 25000 .inategemeana na anafanya kazi gani.kuna kazi mfano ya skimming inaanzia 30,000hadi 35,000.kazi ya alcobond kuanzia 30,000 hadi 50,000 kwa day.kupiga bati ni kuanzia 40,000.hapo ni fundi anayelipwa na fundi mwenzake anapoomba kazi.ukiwa na kazi yako mwenyewe unauhakika wa kupata kuanzia 50,000 hadi 80,000 kwa day.na hyo ni site moja.ukiwa na site 3 mpaka 5 unatengeneza kwa cku zaidi ya 250,000=.cha kwanza lazima ujiulize umesomea fan gani?.cc upande wetu kazi za finishing za nyumba ndio zinatulipa sana kuliko hata MTU mwenye digree
Nimekucheki PM mkuu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapana aise sijawahi kuwaza kufanya kazi kama hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unaufinyu mkubwa sana wa maarifa.
watu wa plumbing wanakunja pesa ndefu sanaa.

kwenye miradi mikubwa unayoijua wewe eg.
mwalimu Nyerere wanapokea 50K per day
Sgr yapi wanakunja 45K per day
hoima tanga pipeline wanakunja 50K per day.

Idara kubwa za maji eg dawasco fundi anampita mshahara mwalimu na Askar wa chini maana anachukua zaidi ya laki 7.

sasa wewe endelea KUKALILI
 
Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mkuu mtu anaesomea ufundi mara nyingi huyo ana nafasi ya kujiajiri zaidi kuliko wengine. Mfano mimi ni fundi umeme naanzisha ka kampuni kangu (Electrical Contractor) najitangaza kuchora schematic diagrams kwa wateja wanaotaka umeme, kuwajazia na kugongea mihuri kwenye form zao za maombi ya umeme, kufanya wiring, kufanya maintenances za umeme.

Ndio raha ya ufundi, ukifa njaa ni uzembe wako.
 
Sio lazima ukaajiliwe.shida yenu mnapenda kuajiliwa.fundi kwa day analipwa kuanzia 25000 .inategemeana na anafanya kazi gani.kuna kazi mfano ya skimming inaanzia 30,000hadi 35,000.kazi ya alcobond kuanzia 30,000 hadi 50,000 kwa day.kupiga bati ni kuanzia 40,000.hapo ni fundi anayelipwa na fundi mwenzake anapoomba kazi.ukiwa na kazi yako mwenyewe unauhakika wa kupata kuanzia 50,000 hadi 80,000 kwa day.na hyo ni site moja.ukiwa na site 3 mpaka 5 unatengeneza kwa cku zaidi ya 250,000=.cha kwanza lazima ujiulize umesomea fan gani?.cc upande wetu kazi za finishing za nyumba ndio zinatulipa sana kuliko hata MTU mwenye digree
Ahsante kwa muongozo huu mkuu
 
Aisee, hizo fani ni mchomoko wa chap sana.

Soko la ajira la sasa, ni bora kijana uwe na fani, uweze kufanya/tengeneza kitu fulani.
 
Sio lazima ukaajiliwe.shida yenu mnapenda kuajiliwa.fundi kwa day analipwa kuanzia 25000 .inategemeana na anafanya kazi gani.kuna kazi mfano ya skimming inaanzia 30,000hadi 35,000.

kazi ya alcobond kuanzia 30,000 hadi 50,000 kwa day.kupiga bati ni kuanzia 40,000.hapo ni fundi anayelipwa na fundi mwenzake anapoomba kazi.

ukiwa na kazi yako mwenyewe unauhakika wa kupata kuanzia 50,000 hadi 80,000 kwa day na hyo ni site moja.ukiwa na site 3 mpaka 5 unatengeneza kwa cku zaidi ya 250,000=.cha kwanza lazima ujiulize umesomea fan gani?.cc upande wetu kazi za finishing za nyumba ndio zinatulipa sana kuliko hata MTU mwenye digree
Kila biashara inalipa ukiwa unasimuliwa..
 
Tunawaza kuajiriwa tu ndo tatizo, lakn pamoja na hayo me nawajua watu kadhaa wamesoma VETA na wameajiriwa, wapo wanaopata kwa Laki 8, Milioni 1 na kuendelea. Lakini pia wapo walioeoma VETA wamejiajiri na wanaingiza hela ndefu zaidi. So ufundi hela ipo nje nje kwa mtizamo wangu. I wish ningestuka mapema ningekua Fundi flan hviπŸ™„
 
Back
Top Bottom