Swali muhimu kuhusu vifo vya Coronavirus

Swali muhimu kuhusu vifo vya Coronavirus

Na mtu mwoga wa radi akisikia mgurumo wa radi kipindi cha mvua akakimbia na bahati mbaya akajibamiza kwenye ukuta akafa,nini kitakuwa kimemuua?
 
Wakati watu wanai overate na kujenga total degrees of fear, sisi huku kwetu Lesioi hiyo corona ni hadithi ya kwenye kitabu tu... yaani bila shule kufungwa basi sijui kama Lengume angejua kama kuna hiyo kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom