Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

😂😂 dah, hvi kumbe sio tiket ni tikiti 😂😂😂
Mjinga yeyote yule mwenye ufinyu wa fikra huwa anahangaika na mambo madogo madogo yanayo endana na upeo wake wa kufikiri ,wenye akili kubwa wanashughulika na jambo la msingi lenye tija.
 
Umeamini kiswahili kigumu eeh?umemrekebisha mwenzio Luvu/Ruvu halafu wewe unaurudi na habari za matikiti.
 
Umeamini kiswahili kigumu eeh?umemrekebisha mwenzio Luvu/Ruvu halafu wewe unaurudi na habari za matikiti.
Hapana, yuko sawa, hata mimi mwanzoni nilidhani amekosea lakini nilipofungua shajara yangu nikakuta yuko sawa. Heshima yake nimempa!
 
Naona tumetoka kwenye mada, watu wazima tunafundishana kiswahili cha shule ya msingi! Tumezoea kiswahili cha mazoea.
 
Back
Top Bottom