Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

Hakuna,hilo neno limetoholewa kwenye English na kiswahili tunasema tiketi,na sio tikiti..
Sawa, siwezi kukukatalia: Ukiendea Zanzibar Soko wanaliita Marikiti (Market in English) Bongo Soko tunaliita Soko inatokana na neno Kiarabu (Al Souk) tamka Alsuuk.
 
Wote mnaopinga neno tikiti kuwa ni ticket, ingieni kwenye simu zenu mtafute tafsiri ya hili neno tumalize ubishi wa kitoto.
 
Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU! Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tikiti ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro! Swali langu kwako, ndani ya treni wamo waganyakazi wengi wa TRC wakiwemo mashosti, je, ni vipi shirika limeshindwa kuajiri wakaguzi wa tikiti? Pili, vituo vya njiani huwa havipewi orodha ya abiria watakaoshuka kwenye vituo vyao ili nao wauze tikiti kulingana na abiria watakao shuka hapo? Inakuwaje TRC inauza tikiti nyingi za masafa mafupi ambazo abiria wake hawateremki mpaka TAKUKURU ije TRC ndani ya treni na kuwaambia eti abiria masafa mafupi hawateremki! Ni wazi TRC imewajiri viongozi na wafanyakazi wasio na ujuzi na uwezo wa kufikiri. Ninauhakika yote yanayoendelea stesheni na ndani ya treni mnayajua na lazima yanamaslahi kwenu, vinginevyo yasingekuwepo.
Wameanza hujuma mapema asubuhi kabisa, ni muda wao wa maokoto kabla watu hawajazinduka na kuanza makelele.
 
Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU! Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tikiti ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro! Swali langu kwako, ndani ya treni wamo waganyakazi wengi wa TRC wakiwemo mashosti, je, ni vipi shirika limeshindwa kuajiri wakaguzi wa tikiti? Pili, vituo vya njiani huwa havipewi orodha ya abiria watakaoshuka kwenye vituo vyao ili nao wauze tikiti kulingana na abiria watakao shuka hapo? Inakuwaje TRC inauza tikiti nyingi za masafa mafupi ambazo abiria wake hawateremki mpaka TAKUKURU ije TRC ndani ya treni na kuwaambia eti abiria masafa mafupi hawateremki! Ni wazi TRC imewajiri viongozi na wafanyakazi wasio na ujuzi na uwezo wa kufikiri. Ninauhakika yote yanayoendelea stesheni na ndani ya treni mnayajua na lazima yanamaslahi kwenu, vinginevyo yasingekuwepo.
Hakika itaishia kama Mwendokasi tuu
 
Magu nani bnana!! Mbona ndiye aliyeharibu mfumo mzuri wa malipo uliokuwepo kwenyeUDART?? kwa kuwatoa selcom na kuwapa ttcl? Wakatoka kwenye tiketi za ku scan wakarudi kwenye tiketi za vishina?? Hii nchi....
Magu alikuwa kivuruge hakuna mfano.
 
Ahsante sana, wewe ni mswahili uko sawa (Respect)

Tiketi - Wikipedia, kamusi elezo huru​

1723873160898.png
Wikipedia
https://sw.wikipedia.org › wiki › T...

·Translate this page

Tiketi (pia: tikiti, kutoka Kiingereza "ticket") ni kipande cha karatasi au kadi inayoidhinisha mtu kuingia, kushiriki, kutumia au kusafiri.
 
Wote mnaopinga neno tikiti kuwa ni ticket, ingieni kwenye simu zenu mtafute tafsiri ya hili neno tumalize ubishi wa kitoto.

Tiketi - Wikipedia, kamusi elezo huru​

1723873299088.png
Wikipedia
https://sw.wikipedia.org › wiki › T...

·Translate this page

Tiketi (pia: tikiti, kutoka Kiingereza "ticket") ni kipande cha karatasi au kadi inayoidhinisha mtu kuingia, kushiriki, kutumia au kusafiri.
 
Ajira za vimemo,
Unaweza kuta mhudumu badala ya kukagua tiketi yuko anachati umbea wa shilole na asha buheti.
Wako bize mule wana selfie wanakata mauno wanacheza komasava

Ova
 
Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tikiti ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro!

Swali langu kwako, ndani ya treni wamo waFanyakazi wengi wa TRC wakiwemo mashosti, je, ni vipi shirika limeshindwa kuajiri wakaguzi wa tikiti?

Pili, vituo vya njiani huwa havipewi orodha ya abiria watakaoshuka kwenye vituo vyao ili nao wauze tikiti kulingana na abiria watakao shuka hapo?

Inakuwaje TRC inauza tikiti nyingi za masafa mafupi ambazo abiria wake hawateremki mpaka TAKUKURU ije TRC ndani ya treni na kuwaambia eti abiria masafa mafupi hawateremki!

Ni wazi TRC imewajiri viongozi na wafanyakazi wasio na ujuzi na uwezo wa kufikiri.

Ninauhakika yote yanayoendelea stesheni na ndani ya treni mnayajua na lazima yanamaslahi kwenu, vinginevyo yasingekuwepo.
Ni aibu kubwa kwa Masanja Kadogosa!
 
..aliyekata Tiketi ya Ruvu, akaendelea mpaka Moro, anatakiwa azuiliwe kutoka kituoni mpaka atakapolipa nauli yote.

..Kwa maana nyingine, tiketi ya Ruvu ukiitumia kutoka Moro inatakiwa igome kusomeka. Na ili isomeke inabidi ukailipie nauli kamili.

..TRC wanatakiwa wabunge mifumo sahihi ya kuingia na kutoka ktk stesheni za Sgr.

..Wadanganyifu wanatakiwa wakamatwe wakati wanajaribu kutoka vituoni. Hakuna haja ya kuajiri wakaguzi wa tiketi wanaopata kwenye mabehewa.
Hii ndio solution sahihi ya kidijitali.
 
Back
Top Bottom