Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

Hakuna,hilo neno limetoholewa kwenye English na kiswahili tunasema tiketi,na sio tikiti..
Sawa, siwezi kukukatalia: Ukiendea Zanzibar Soko wanaliita Marikiti (Market in English) Bongo Soko tunaliita Soko inatokana na neno Kiarabu (Al Souk) tamka Alsuuk.
 
Wote mnaopinga neno tikiti kuwa ni ticket, ingieni kwenye simu zenu mtafute tafsiri ya hili neno tumalize ubishi wa kitoto.
 
Upumbafu ni kama kifo, unawaumiza walio karibu nawe huku wewe hujijuiHuyu ni miongoni mwa mazwazwa (think tank) tulio nao hapa jukwaani. Tumzoee
Kwani zitto si alishawapa mbinu ya nini cha kufanya kama mlimpenda sana
 
Wameanza hujuma mapema asubuhi kabisa, ni muda wao wa maokoto kabla watu hawajazinduka na kuanza makelele.
 
Hakika itaishia kama Mwendokasi tuu
 
Magu nani bnana!! Mbona ndiye aliyeharibu mfumo mzuri wa malipo uliokuwepo kwenyeUDART?? kwa kuwatoa selcom na kuwapa ttcl? Wakatoka kwenye tiketi za ku scan wakarudi kwenye tiketi za vishina?? Hii nchi....
Magu alikuwa kivuruge hakuna mfano.
 
Ahsante sana, wewe ni mswahili uko sawa (Respect)

Tiketi - Wikipedia, kamusi elezo huru​


Wikipedia
https://sw.wikipedia.org › wiki › T...


·Translate this page

Tiketi (pia: tikiti, kutoka Kiingereza "ticket") ni kipande cha karatasi au kadi inayoidhinisha mtu kuingia, kushiriki, kutumia au kusafiri.
 
Wote mnaopinga neno tikiti kuwa ni ticket, ingieni kwenye simu zenu mtafute tafsiri ya hili neno tumalize ubishi wa kitoto.

Tiketi - Wikipedia, kamusi elezo huru​


Wikipedia
https://sw.wikipedia.org › wiki › T...


·Translate this page

Tiketi (pia: tikiti, kutoka Kiingereza "ticket") ni kipande cha karatasi au kadi inayoidhinisha mtu kuingia, kushiriki, kutumia au kusafiri.
 
Ajira za vimemo,
Unaweza kuta mhudumu badala ya kukagua tiketi yuko anachati umbea wa shilole na asha buheti.
Wako bize mule wana selfie wanakata mauno wanacheza komasava

Ova
 
Ni aibu kubwa kwa Masanja Kadogosa!
 
Hii ndio solution sahihi ya kidijitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…