Teh. Eti alijua we ni me lol. Hahahaaaaa.Usijali,jambo la kawaida kabisa. Ila nimecheka
Shukrani sana mumy. Nawe pia ni mmoja kati ya malkia wa nguvu kwa Emmy.Shunie
Sky
Espy
Geno
Nalendwa
Nightbright
Ukhuty
Numbisa
Emmyta
Jje's
Miss chagga
Nahuja
Carba
Maserati
Mbiti
Mzigua90
Tumosa
Cute b
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsante sana mdogo wangu. Nawe pia ni malkia wa nguvu kwa dada yako Emmy.Emmyta
Ni nini kikuchekecheshacho?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa [emoji8][emoji8]
Teh. Eti alijua we ni me lol. Hahahaaaaa.
Mie pia nimecheka sana duuh.
Ila we Money Penny wewe. [emoji12] [emoji12]
Malkia wangu wa nguvu upande wa jf ni rafiki yangu Kipenzi Numbisa huyu kijuu juu unaweza sema ni mtu wa kawaida ila kwa upande wangu huwa ni mdada muhimu sana sababu anayatema sana madini ndani ya jf tena yenye mafunzo hasa kule kwenye uzi wake pendwa wa likes. Iwe habari za Afya, michezo na hata zile za ubuyu zinazopendwa wa wengi kule jukwaa la Celebrities basi huyu akizipata ni lazima aje atumwagie na wengine tupate jua.
Mwingine ni shoga kidawa ukhuty nadhani yeye anazijua sababu za kuwa malkia wa nguvu kwa Emmy iwe ndani au nje ya jf.
Emmy penda sana nyie. [emoji8] [emoji8]
Asante my dearShukrani sana mumy. Nawe pia ni mmoja kati ya malkia wa nguvu kwa Emmy.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsante sana sana my dear rafiki.
Nadhani unajijua hata kabla ya huu uzi jinsi ulivyo malkia wa nguvu kwa Emmy hajawahi juta kukupata rafiki na hajawahi juta kukufahamu kipenzi.
Ubarikiwe sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahaaa. Na kweli aiseee.Yaan katoa kali ya kufungia mwezi
Maana kwenye story zake nipo na nnavyochat humo sasa kumbe ningeweza mtokea kama dume angenifikiria ombi langu na kwa bahati ningeweza hata kukubaliwa hahaha
Karibu sana rafiki.Appreciate my dear emmy, umeshuka gazeti moja tamu kulisoma muda wote. Shukran sana.
she is HotKasie coz I saw her pic
Idumu kwa kweli ili tuzidi kupata vingi na kujifunza mengi.Amen.
Be blessed too. Idumu JF
She is killing me softlyshe is Hot
Shukurani MkuuWapi BL, Beef Lasagna