Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awwww Asante mamy.Beef Lasagna nampenda huyu mdada mpaka basi na my girl Mzigua90
Kisseeeeesss mingi mingi kwako malkia wangu wa nguvu
Umenifurahisha jamanNi nini kikuchekecheshacho?
Amesema ni kweli jaman me ni mke mwema wake yaan anatamani anioe tenaSema usisahau kuniulizia lile swali kwa mwenye mke mwema wake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji8][emoji8][emoji8]
Asante mamy
Karibu JF[emoji137] [emoji137]Ukhuty.
Emmyta.
Hahahahahaaaaa
Upo vizuri mi page nyingi nikipitia ni 3 tu.Nimefuatilia mtanange kuanzia mwanzo hadi hapa, na karibia kila post nimeipa salamu kwa LIKE, ambaye sijampa aniwie radhi.
Sio vibaya, sometime mengine tunayafanya kwa kujiburudisha ndio maana mtu unapata hamasa ya kupitia karibia post zoteUpo vizuri mi page nyingi nikipitia ni 3 tu.
Kwa hiyo hata Tanzania one alikuwa malaya? Mzigua90 weweee.Linafaa kabisa. Sema matendo yako na kina Julius hayalingani. Unajua kina Julius wapole flani sema tu malaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Hahahahahaaaaa
Leo mnachambua mzigo gani wa manowari!!??