SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

Malkia wangu wa nguvu ni kwa

Nalendwa heshima kwako sister mambo unayoyafanya kule international forum sio ya kisport sport

lara 1 best female writer nakukubalii sana

emmyta huyu yupo humble sana.. Heshima yako

colietha huyu bibie ni nadra kuonekana ila akionekana huwa na maneno kuntu sana
Ahsante sana Kaka ake. Nafurahi kujiona katika list yako. Be blessed.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom