SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

Malkia wangu wa nguvu upande wa jf ni rafiki yangu Kipenzi Numbisa huyu kijuu juu unaweza sema ni mtu wa kawaida ila kwa upande wangu huwa ni mdada muhimu sana sababu anayatema sana madini ndani ya jf tena yenye mafunzo hasa kule kwenye uzi wake pendwa wa likes. Iwe habari za Afya, michezo na hata zile za ubuyu zinazopendwa wa wengi kule jukwaa la Celebrities basi huyu akizipata ni lazima aje atumwagie na wengine tupate jua.

Mwingine ni shoga kidawa ukhuty nadhani yeye anazijua sababu za kuwa malkia wa nguvu kwa Emmy iwe ndani au nje ya jf.

Emmy penda sana nyie. [emoji8] [emoji8]
haha mefurah mno yaan my dada nami nimekuwa kwa list yako ngoj nisiseme sana mpenz tutakutana kuleeee[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Back
Top Bottom