kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Aya bhanaUmenifurahisha jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya bhanaUmenifurahisha jaman
Chaguo lako limetulia
Atakua rafiki yako huyo anakuzingua tuHahahaaa aiseee
Duuh mimi huyo asante mwenza kwa kutambua uwepo wangu
Chaguo lako limetulia
Demiss
Duuh mimi huyo asante mwenza kwa kutambua uwepo wangu
mje huku swali: kwani lazima Upendwe?!Atakua rafiki yako huyo anakuzingua tu
Waoooh jamanDemiss
Yah kwa upande wangu sihitaj kumuita mtu malkia but i am that malkia wa nguvu! I believe in me first and then other's!hehe
Waoooh jaman
hayaYah kwa upande wangu sihitaj kumuita mtu malkia but i am that malkia wa nguvu! I believe in me first and then other's!
hahha umeamua kuorodhesha chante dada
thankiu[emoji7]Evenly salt + ukhuty
[emoji8]Shunie
Sky
Espy
Geno
Nalendwa
Nightbright
Ukhuty
Numbisa
Emmyta
Jje's
Miss chagga
Nahuja
Carba
Maserati
Mbiti
Mzigua90
Tumosa
Cute b
asante kaka angu umeadimika lknDada ukhuty.
Dada kioo.
Dada machungwa.
Kumbeee[emoji8]
haha mefurah mno yaan my dada nami nimekuwa kwa list yako ngoj nisiseme sana mpenz tutakutana kuleeee[emoji8] [emoji8] [emoji8]Malkia wangu wa nguvu upande wa jf ni rafiki yangu Kipenzi Numbisa huyu kijuu juu unaweza sema ni mtu wa kawaida ila kwa upande wangu huwa ni mdada muhimu sana sababu anayatema sana madini ndani ya jf tena yenye mafunzo hasa kule kwenye uzi wake pendwa wa likes. Iwe habari za Afya, michezo na hata zile za ubuyu zinazopendwa wa wengi kule jukwaa la Celebrities basi huyu akizipata ni lazima aje atumwagie na wengine tupate jua.
Mwingine ni shoga kidawa ukhuty nadhani yeye anazijua sababu za kuwa malkia wa nguvu kwa Emmy iwe ndani au nje ya jf.
Emmy penda sana nyie. [emoji8] [emoji8]
thanks mpenz tumekumiss hatukuoni kitaa mpenz[emoji8] [emoji8]Ukhuty.
Emmyta.
duuh nataman nishushe mlist wangu maan ni mrefu hatar asante mpenz love u[emoji8]