Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Thank you love.. Malkia wa nguvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you love.. Malkia wa nguvu
Wapo. Fake names zinafanya msijuane.si ajabu Mzigua90 mmeishi nae Udsm watoto wa wahadhili( lecturers).Hahahaaaa
Hivi, kama kweli ningekuwa naitwa Julius ningejianika hivi JF? Ningeweka rehani faragha ya familia yangu?
Halafu unajua kingine nini? Nimesoma Shaaban Robert.
Kuna Julius Magembe aliyewahi kusoma hapo? Hahahahahaaa.
Ila uzuri watu wengi niliosoma nao hawapo kabisa JF na ndo maana najidai sana. La sivyo wangekuwa washanitaja.
Ila usijali....wewe nitakuonyesha passport yangu kabisa....
Hapana niwekee voice note sijaamini kabisa wakunyumba unajisifia mwenyeweAmesema ni kweli jaman me ni mke mwema wake yaan anatamani anioe tena
Aisee ni kweli kabisaSio vibaya, sometime mengine tunayafanya kwa kujiburudisha ndio maana mtu unapata hamasa ya kupitia karibia post zote
Ndo nani huyo? We angalia kina Julius wanakuaga watu wa chini kwa chini. Tofauti na bwana Julius Magembe ye anawasha tu muda wowoteKwa hiyo hata Tanzania one alikuwa malaya? Mzigua90 weweee.
Lol. Hapana hapana kabisa. Mi nimeishi kwetu tanga huko mjini nilikuja kwa ajili ya kusoma tuWapo. Fake names zinafanya msijuane.si ajabu Mzigua90 mmeishi nae Udsm watoto wa wahadhili( lecturers).
Labda tumesoma wote sec.
Jkn.!!!Ndo nani huyo? We angalia kina Julius wanakuaga watu wa chini kwa chini. Tofauti na bwana Julius Magembe ye anawasha tu muda wowote
Tanga Raha. Waja Leo. Vibinti vya TANGA napenda ufungaji wao wa khanga. Khanga mlegezo.Tembea yao utadhani kachomwa miba.kutengeneza matege.Lol. Hapana hapana kabisa. Mi nimeishi kwetu tanga huko mjini nilikuja kwa ajili ya kusoma tu
Wakubwa hawasemwi.Jkn.!!!
Ndo sababu nikauliza? Hata huyu!Wakubwa hawasemwi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukute kapotea njia kajikuta yupo huku mzee wa mitutuHahahahahaaaaa
Leo mnachambua mzigo gani wa manowari!!??
Wapi mama sabra[emoji23] [emoji23]
Hahahahahaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukute kapotea njia kajikuta yupo huku mzee wa mitutu
Mama Sabrina sio malkia wangu wa nguvuWapi mama sabra[emoji23] [emoji23]
Malkia wa chit chat memeMama Sabrina sio malkia wangu wa nguvu
Malkia wa nguvu kwa G wanguWapi mama sabra[emoji23] [emoji23]
Ahsante sana Mumy. Malkia wangu wa nguvu.