SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

Hahahaaaa

Hivi, kama kweli ningekuwa naitwa Julius ningejianika hivi JF? Ningeweka rehani faragha ya familia yangu?

Halafu unajua kingine nini? Nimesoma Shaaban Robert.

Kuna Julius Magembe aliyewahi kusoma hapo? Hahahahahaaa.

Ila uzuri watu wengi niliosoma nao hawapo kabisa JF na ndo maana najidai sana. La sivyo wangekuwa washanitaja.

Ila usijali....wewe nitakuonyesha passport yangu kabisa....
Wapo. Fake names zinafanya msijuane.si ajabu Mzigua90 mmeishi nae Udsm watoto wa wahadhili( lecturers).
Labda tumesoma wote sec.
 
Back
Top Bottom