Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
My Shunie uko kwenye list yangu unajua. Tena juu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My Shunie uko kwenye list yangu unajua. Tena juu kabisa.
Thank you. Nasubiri lorry langu la mahindi
Okay.. Usk mwemaWaauuu asante bro ake wa faida. Amen
Asante sana kaka [emoji7][emoji120]
Asante malkia wangu wa nguvu.Shunie
Sky
Espy
Geno
Nalendwa
Nightbright
Ukhuty
Numbisa
Emmyta
Jje's
Miss chagga
Nahuja
Carba
Maserati
Mbiti
Mzigua90
Tumosa
Cute b
Nalijua hilo wakinyumba nakupenda mke mwema me wa mwenyewe [emoji8][emoji8][emoji8]My Shunie uko kwenye list yangu unajua. Tena juu kabisa.
Asante malkia wa nguvu
Asante malkia wangu wa nguvu. Weekend hii mtoko pamojaBeef Lasagna nampenda huyu mdada mpaka basi na my girl Mzigua90
Thank you. Nasubiri lorry langu la mahindi
Sema usisahau kuniulizia lile swali kwa mwenye mke mwema wake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nalijua hilo wakinyumba nakupenda mke mwema me wa mwenyewe [emoji8][emoji8][emoji8]
Julius hiyo soda ina gas halafu. Nimekumiss Mr. Magembe. [emoji11]Soda ya 7UP.
Ugali dagaa ndo my favourite food ikifuatiwa na wali na samaki wa nazi.Kumbe unakula ugali!? Nimekupenda weye! Warembo wengine huwa hawagusi ugali.
Julius hiyo soda ina gas halafu. Nimekumiss Mr. Magembe. [emoji11]
Likubali tu si ndo ulilojipa na likakuingia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Teh teh daah unajua I feel some type of way na hili jina.
Watu kweli wanaamini ni jina langu!
Ahahahaaaa.
Anywho, I miss you more and most.
Likubali tu si ndo ulilojipa na likakuingia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Linafaa kabisa. Sema matendo yako na kina Julius hayalingani. Unajua kina Julius wapole flani sema tu malaya.Hahahaaa na kweli!
Kwa matumizi ya JF si baya.
Husika na kichwa cha habari hapo juu ila naomba twende sawa maana kuwa watu sio waelewa kabisa!
Kwakuwa tupo msimu wa Malkia wa Nguvu; toa yako ya moyoni utuambie
Nani ambae unamkubali sana kuwa ni malkia wako wa nguvu
Huku jamii forum tu sio nje ya hapa!
Mimi wa kwangu ni Mdogowangu lara 1
She's the best!
oh nataka kumsahau mdogowangu Miss Natafuta
Linafaa kabisa. Sema matendo yako na kina Julius hayalingani. Unajua kina Julius wapole flani sema tu malaya.