SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

Teh teh daah unajua I feel some type of way na hili jina.

Watu kweli wanaamini ni jina langu!

Ahahahaaaa.

Anywho, I miss you more and most.
Likubali tu si ndo ulilojipa na likakuingia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu ila naomba twende sawa maana kuwa watu sio waelewa kabisa!

Kwakuwa tupo msimu wa Malkia wa Nguvu; toa yako ya moyoni utuambie

Nani ambae unamkubali sana kuwa ni malkia wako wa nguvu

Huku jamii forum tu sio nje ya hapa!

Mimi wa kwangu ni Mdogowangu lara 1

She's the best!

oh nataka kumsahau mdogowangu Miss Natafuta



Tatizo humu jinsia za akina ' Semenya ' zipo nyingi ambapo unaweza ukadhani labda unamtaja Demu kutokana na ID yake kumbe unalitaja ' Linjemba ' fulani lililotukuka na Midevu yake.
 
Linafaa kabisa. Sema matendo yako na kina Julius hayalingani. Unajua kina Julius wapole flani sema tu malaya.

Halafu nacheka kweli!

Kuna mtu kanijia PM anadai ananijua. Anadai kwamba eti hili ndo jina langu.

Anachoshindwa kutambua ni kwamba, vipi kama hili ni jina nililolitunga kwa matumizi ya JF?

Jina langu la ukweli nikilitaja hapa watu walio wengi waliopitia/soma UDSM lazima watamjua baba yangu ambaye alikuwa mwalimu/ profesa hapo kwa miaka zaidi ya 30!

Na alikuwa haitwi Profesa Magembe na wala hana mtoto aitwaye Julius!

Hahahaaaa akili kubwa sana hii aisee.
 
Back
Top Bottom