mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uzalendo na hamasa ya kuimba wimbo wa Taifa, na kati ya kujiamini na kuimba wimbo wa Taifa. Je ni timu ipi inaimba wimbo wake wa Taifa kwa hamasa kubwa? Nadhani huiyo inaweza kuwasaidia kubeba kombe la dunia!
Kwa maoni yangu Ureno ina hamasa kubwa sana katika kuimba wimbo wao wa Taifa, na sitashangaa kama Ureno watabeba ndoo ya dunia!
Kwa maoni yangu Ureno ina hamasa kubwa sana katika kuimba wimbo wao wa Taifa, na sitashangaa kama Ureno watabeba ndoo ya dunia!