johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
RC Makonda anasimamia ilani ya CCM juu ya utekelezaji wa sera ya michezo. Ametimba Cairo kuhakikisha anarudi na majawabu ya kuwapa wananchi pindi watakapohoji kunako 2020.
Amunike yeye anatimiza majukumu yake ya kimkataba na amewatumia salamu wale waliohoji uwezo wake na kumwita dalali.
Binafsi naona wote wawili pamoja na wachezaji wanastahili pongezi.
Wewe je?
Maendeleo hayana vyama!