Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate? Msaada kwa anayeweza kuwa na uelewa juu ya swali hlo
Continent and ocean zina plates continental plate and oceanic plate, continental plate inaunda mabara while oceanic plate inatengeneza ocean flow ila by look of thing Kuna mambo unachanganya sana especially when it comes on matter of convergent zone Kuna plate Moja lazima I sink Kwa nyenzake na obviously ocenic plate Ina sink because ocenic plate is thinKama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate?
Msaada kwa anayeweza kuwa na uelewa juu ya swali hlo
Umegusia kidogo nimerecall ma file nimeyasahau kinoma daah.Continent and ocean zina plates continental plate and oceanic plate, continental plate inaunda mabara while oceanic plate inatengeneza ocean flow ila by look of thing Kuna mambo unachanganya sana especially when it comes on matter of convergent zone Kuna plate Moja lazima I sink Kwa nyenzake na obviously ocenic plate Ina sink because ocenic plate is thin
Kitambo sana vitu vidogo vidogo hivoUmegusia kidogo nimerecall ma file nimeyasahau kinoma daah.
Noma sana. Gondwanaland nkKitambo sana vitu vidogo vidogo hivo
Unatakiwa kufahamu kuwa katika hizo plates zilizozungumziwa ni za aina mbili yaaani Oceanic Plates ambazo zinatengeneza Ocean Floor/Topography na Continental Plates ambazo zinatengeneza Continents ambazo sisi tunaishiKama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate?
Msaada kwa anayeweza kuwa na uelewa juu ya swali hlo
Mkuu, sorry kidogo, na mimi Geograph nilisoma zamani kiasi..Na pia hizo plates (Oceanic & Continental) zinautofauti kwenye nyanja mbalimbali kama zifuatazo:-
Density
Oceanic Plate (Sima) 2.9g/cm³ DENSE
Continental Plate (Sial) 2.6g/cm³ LIGHTER
Components
Oceanic Plate (Sima) Ina Silica and Magnesium
Continental Plate (Sial) Ina Silica and Alminium
Width
Continental Plate (Sial) Inaanzia kwenye 0-17km
Oceanic Plate (Sima) Ipo kuanzia 17-50
Temperature
5000C*
Kwahiyo jumla ya Oceanic Plate and Continental Plate unapata CRUST LAYER (0-50 KM).
kwanza lazma ujue kuwa bahari ilikuja baada ya mpasuko(kutokea kwa mabala) ,kulingana na mpasuko huo ambao ulitokana na mgandamizo wa aridhi ndipo maji yakapenya kwenye hio mipasuko Leo hii ndo tunaita bahari,maziwa ,mito nk,pia ardhi haielei juu ya maji ispokuw maji yapo juu ya ardhi,
Hoja kuu ni kwamba Oceanic Plate na Continental Plate ni Same Layer yote ni Crust....lakini utofauti ni Topography zao au Muundo na Mazingira yao kwani Oceanic Plate inabeba Maji na viumbe vya majini lakini Sifa nyingi za maumbo ni sawa kama zilizopo kwenye Continental Plate mfano milima,mabonde,mipasuko nk yapo katika mabara yote mawiliMkuu, sorry kidogo, na mimi Geograph nilisoma zamani kiasi..
Hoja yangu ni kuwa, kama oceanic plate is denser than continental plate, hii ndio imepelekea oceanic plate kuzama (yaani kuwa chini ya maji), Je huoni kuwa hoja ya mtoa hoja kwamba continental plates zina elea juu ya maji( maana na nyepesi, hazijazama kama oceanic plate)
Kifupi hapana hoja haipo hivyo....kwasababu hiyo Bahari/Maji na hayo mabara yote mawili yapo kwenye tabaka mojaMkuu, sorry kidogo, na mimi Geograph nilisoma zamani kiasi..
Hoja yangu ni kuwa, kama oceanic plate is denser than continental plate, hii ndio imepelekea oceanic plate kuzama (yaani kuwa chini ya maji), Je huoni kuwa hoja ya mtoa hoja kwamba continental plates zina elea juu ya maji( maana na nyepesi, hazijazama kama oceanic plate)
Shukran nadhani ndivyo ila nilikuwa nachanganya kwamba maj yametenganisha kabsa ardhi na ardh mpaka chin au n juu tu ndo pana mpasuko Ila chi Luna base 1Kama hapa unaweza kusema upande huo wa nchi kavu (Sial) unaelea kwenye Maji? Si hivyoView attachment 1939974
Shukran nmepata kitu mkuuKifupi hapana hoja haipo hivyo....kwasababu hiyo Bahari/Maji na hayo mabara yote mawili yapo kwenye tabaka moja
Na zinaelea kwenye Mantle ambako Kuna layer inaitwa Aesthenosphere inayosababisha mabara hayo yasogeleane au kuachana
More thanks napata conceptHoja kuu ni kwamba Oceanic Plate na Continental Plate ni Same Layer yote ni Crust....lakini utofauti ni Topography zao au Muundo na Mazingira yao kwani Oceanic Plate inabeba Maji na viumbe vya majini lakini Sifa nyingi za maumbo ni sawa kama zilizopo kwenye Continental Plate mfano milima,mabonde,mipasuko nk yapo katika mabara yote mawili
Kifupi Continental Plate hazielei juu ya maji Ila zipo juu kabisa ya tabaka la Crust
ndo maana nikaandika Continental Plate (Sial) inaanzia 0-17 km lakini Oceanic Plate (Sima) ni 17-50 km hii Ina maana Continental Plate iko Juu ya Oceanic Plate