Swali Physical Geography

Swali Physical Geography

Mkuu, sorry kidogo, na mimi Geograph nilisoma zamani kiasi..

Hoja yangu ni kuwa, kama oceanic plate is denser than continental plate, hii ndio imepelekea oceanic plate kuzama (yaani kuwa chini ya maji), Je huoni kuwa hoja ya mtoa hoja kwamba continental plates zina elea juu ya maji( maana na nyepesi, hazijazama kama oceanic plate)
Sahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptions

Oceanic crust ni nyepesi, continental crust ni nzito
 
Ni sahihi kwamba Continental Plate zinaelea juu ya maji!?

Mkuu unapotosha
 
Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate?

Msaada kwa anayeweza kuwa na uelewa juu ya swali hlo
Mkuu dunia ina layer tatu(internal structure of the earth)

=>Layer ya kwanza na ndio iliyo nje inaitwa crust, hii imegawanjika katika sehemu mbili, kuna sial ambayo ipo nje kabisa hii inawakilisha mabala yote na kuna sima hii inakua chini ya sial na moja kwa moja inaenda kua ocean floor.

=>Kwahiyo katika hizo layer tatu crust, mantle na core layer moja tu ndio inatengeneza mabala na bahari ambayo ni crust.

=>Hizi layer nyingine hazijapasuka na maji ya bahari hayafiki huku, hata ikipasuka itasababisha volcano kwasababu ya molten material zilizopo kwenye hizo layer.

=>kwa material yaliyoumba dunia solid, semi-solid na maji maji(bahari) ndio inaelea na mpasuko uliishia juu juu huku kwenye earth's crust.

Tanzama kielelezo hapa.
IMG_2309.JPG
 
Sahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptions

Oceanic crust ni nyepesi, continental crust ni nzito
Subduction inatokea baada ya convergence mkuu Kati ya plate mbili ambazo hazina sifa sawa yaani moja nzito(Oceanic) na moja nyepesi(Continental) na subduction Inatokea baada ya Oceanic Plate kuisogelea Mantle Strata....kwahiyo Assumption yako sio sahihi mkuu
 
Sahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptions

Oceanic crust ni nyepesi, continental crust ni nzito
Pia sio sahihi kua Continental Plate ndiyo nzito Ila unapotosha....ingekua nzito isingeweza kukaa kuanzia 0-17 km Ila Oceanic ni Nzito ndiyo maana iko chini Sana kuanzia 17k mpaka 50 km....

Muda mwingine Kama hauna kumbukumbu tumia reference ili usiwape watu mkanganyiko
 
kwanza lazma ujue kuwa bahari ilikuja baada ya mpasuko(kutokea kwa mabala) ,kulingana na mpasuko huo ambao ulitokana na mgandamizo wa aridhi ndipo maji yakapenya kwenye hio mipasuko Leo hii ndo tunaita bahari,maziwa ,mito nk,pia ardhi haielei juu ya maji ispokuw maji yapo juu ya ardhi,
Upo right kwenye maziwa na mito bt kwenye bahari ongeza nyama lasivyo ur wrong
 
Mkuu dunia ina layer tatu(internal structure of the earth)

=>Layer ya kwanza na ndio iliyo nje inaitwa crust, hii imegawanjika katika sehemu mbili, kuna sial ambayo ipo nje kabisa hii inawakilisha mabala yote na kuna sima hii inakua chini ya sial na moja kwa moja inaenda kua ocean floor.

=>Kwahiyo katika hizo layer tatu crust, mantle na core layer moja tu ndio inatengeneza mabala na bahari ambayo ni crust.

=>Hizi layer nyingine hazijapasuka na maji ya bahari hayafiki huku, hata ikipasuka itasababisha volcano kwasababu ya molten material zilizopo kwenye hizo layer.

=>kwa material yaliyoumba dunia solid, semi-solid na maji maji(bahari) ndio inaelea na mpasuko uliishia juu juu huku kwenye earth's crust.

Tanzama kielelezo hapa.
View attachment 1940484
Nadhani dunia Ina layer mbili tu mkuu na kila layer mbili Ina matabaka matatu...Ila uko sahihi maelezo mengine

Internal Layer of the Earth
*Crust
*Mantle
*Core

External Layer of the Earth
*Atmosphere
*Hydrosphere
*Biosphere

NB:na kila layer au strata pia Ina layer zake
 
Mimi mwenyewe limenijia swali iyo asilimia 75% ya maji ni dunia nzima au ni ya kwenye crust tu!?

Kama ni dunia nzima basi kunauwezekano tulipigwa. Au uelewa wangu mdogo, wadau mnasemaje hapo?
 
Nadhani dunia Ina layer mbili tu mkuu na kila layer mbili Ina matabaka matatu...Ila uko sahihi maelezo mengine
Internal Layer of the Earth
*Crust
*Mantle
*Core

External Layer of the Earth
*Atmosphere
*Hydrosphere
*Biosphere

NB:na kila layer au strata pia Ina layer zake
Mimi nimebase kwenye internal structure
Mkuu dunia ina layer tatu(internal structure of the earth)
 
Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate?

Msaada kwa anayeweza kuwa na uelewa juu ya swali hlo
Safi kijana uko vizur sana jitahidi ulete maswali kama haya ili kujenga ubongo zaidi nadhani majibu umeyapata
 
Sahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptions

Oceanic crust ni nyepesi, continental crust ni nzito
Point of correction oceanic crust or plate is thicker and denser than continental crust but oceanic crust can be subducted (destroy)
 
Tectonic plates ni mgawanyiko wa layer ya juu kabisa ya dunia yaani crust. Plates zimegawanyika sehemu mbili, kwa maana ya continental and oceanic plates.
images (33).jpeg

Oceanic plates zinapatina chini ya bahari yaani ndio zinaform ocean floor na continental plates ndio zinatengeneza mabara.

Plates zote zinaelea juu ya asthenosphere, layer ambayo ipo juu ya mantle, hii layer iko katika hali ya nusu kimiminika (semi-molten fluid).
images.png

Kwakua mantle ipo Kama nusu kimiminika na pia kuna mikondo inayotembea kwa kasi (convection currents) katika iyo mantle basi hizi plate zinavutwa kwa chini kuelekea upande ambao current au mkondo uelekea.
SRYLieDaT3ueLT0uEyRR_diagram-earth-mantle.gif

Plates zinatenganishwa na plate boundaries, hizi ni nyufa ambazo ndio hugawanya plate moja na nyengine, zinaweza kuwa convergent plate margin (zinagongana), divergent (zinazokimbiana) au shear (zinazopishana).

summary
• plates zinaelea juu ya mantle (asthenosphere)

• plates hazielei juu ya maji, bali maji yapo juu ya plate.

• nyufa ambazo zinatenganisha plates zinaenda chini mpaka zinakutana na layer ya asthenosphere ambapo hizi nyufa ndio hua passage (njia) ya magma kuja kwenye uso wa dunia

🙏🤝
 
Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate?

Msaada kwa anayeweza kuwa na uelewa juu ya swali hlo
Unachanganya continental Drift theory na plate tectonics theory.
 
kwanza lazma ujue kuwa bahari ilikuja baada ya mpasuko(kutokea kwa mabala) ,kulingana na mpasuko huo ambao ulitokana na mgandamizo wa aridhi ndipo maji yakapenya kwenye hio mipasuko Leo hii ndo tunaita bahari,maziwa ,mito nk,pia ardhi haielei juu ya maji ispokuw maji yapo juu ya ardhi,
Bahari ya ilikuwepo ikiizunguka Pangaea kabla ya drift.
 
Continent and ocean zina plates continental plate and oceanic plate, continental plate inaunda mabara while oceanic plate inatengeneza ocean flow ila by look of thing Kuna mambo unachanganya sana especially when it comes on matter of convergent zone Kuna plate Moja lazima I sink Kwa nyenzake na obviously ocenic plate Ina sink because ocenic plate is thin
Umenikumbusha lecture mmoja pale COES-UDOM Dr Mishra palikuwa panachimbika Sana hususani uku kwenye plates na theory zake.
 
Back
Top Bottom