vanmedy
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 2,701
- 1,406
Sahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptionsMkuu, sorry kidogo, na mimi Geograph nilisoma zamani kiasi..
Hoja yangu ni kuwa, kama oceanic plate is denser than continental plate, hii ndio imepelekea oceanic plate kuzama (yaani kuwa chini ya maji), Je huoni kuwa hoja ya mtoa hoja kwamba continental plates zina elea juu ya maji( maana na nyepesi, hazijazama kama oceanic plate)
Oceanic crust ni nyepesi, continental crust ni nzito