Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

Ndugu yangu kuna kitu hukifahamu kuhusu ndiyo maana humwelewi JokaKuu.
Kwanza uhalifu ni neno lenye maana nyingi ikiwa ni pamoja na kuudhi, kukirihi na kukiuka.
Hapa kwa wahamiaji haramu limetumika kama kukiuka kwa maana kukiuka sheri za nchi. Unapokiuka sheria umehalifu na mtu aliyehalifu ni mhalifu. Siyo tusi kama unavyoelewa.

Pili, kuna kuelemewa kwa serikali kwa ushahidi kabisa. Wahamiaji wanatumia resource kama elimu, afya n.k. kwa kubanana na raia wenye nchi yao. Baada ya hapo kwasababu si raia hurudi kwao kutumikia nchi zao. Kuna Wanyarwanda wahamiaji haramu wenye kufaidika na huduma wakiwa si raia kama niliyoonyesha hapo chini (Red)

Soma hii hapa chini uone.


 
Last edited by a moderator:

Mkuu Nguruvi3......binafsi hili suala zima linanikumbusha experience ya maisha yangu nikiwa maeneo hayo......hilo jambo hapo juu mbona limeshatokea mara nyingii!!.....
 
Mkuu NARA don't you underrate resolve za Watutsi wanapo pania kitu, DRC ina makabila mangapi, Je DRC ina eneo la mraba kiasi gani je hiyo ilimzuia/ugopesha jeshi la Kagame ku-attempt kumpindua Kabira Sr na walikuwa karibu wafanikiwe - jamaa hawa wana guts za ajabu sana, kuna vitu nilikuwa sitaki kuzungumza humu - hivi jeshi la Kagame iliwachukua muda gani kutoka mpakani mwa Rwanda na kufika viungani mwa mji wa Kinsasha, kama nakumbuka vizuri iliwachukuwa less than three weeks kama sikosei, binafsi nilikuwa concern sana na kasi ile maanake nilijua wakimaliza DRC watavimba kichwa na kufikilia kwa nini tusijaribu Tanzania na wangeweza kabisa kujaribu, nilikutana na Waziri wetu wa ulinzi Hotelini kwa bahati tu alikuwa na wageni wake wanakunywa kahawa, mimi nika summon courage na kwenda mezani kwake nikamwambia samahani kuna kitu nataka kuzungumza nawe pembeni kidogo, yule baba wa watu alikubali kunisikiliza - kuna vitu tulizungumza siwezi kuvirudia hapa lakini theme nzima ilihusu kasi na mbinu za majeshi ya Rwanda kwenda kuhuteka mji mkuu DRC (Kinshasa), nilicho shukuru Jeshi letu ni IMARA kweli kweli na wanajua kila kitu kinacho endelea (kwa bahati waziri alikuwa ni mwanajeshi wakati huo), kauli hiyo ilinipa matumaini kweli kweli. Tukae tukijua Viongozi wa Kigali wako highly umpredictable cha muhimu hapa ni kukaa tayari kwa lolote.
 
Mkuu Bukyanagandi.....wengi wa watu wanaojaribu kutetea uhamiaji haramu hapa JF nina imani kuwa hawayajui maeneo husika vilivyo......na hawana experience na maisha ya kule......ulichokisema hapo juu kina ukweli mwingi sana......
Webale mkuu Ogah, hilo ni tatizo kubwa kusema kweli, wenyeji ndio wanajua vilivyo kero za wahamiaji ambao wengi wao hawana SHUKURANI.
 
Webale mkuu Ogah, hilo ni tatizo kubwa kusema kweli, wenyeji ndio wanajua vilivyo kero za wahamiaji ambao wengi wao hawana SHUKURANI.
Hawana shukrani hata kidogo. Wamepewa option ya kuomba uraia hawataki kuitumia. Wamepewa fursa za kuishi sehemu nyingine hawataki kwenda.

Inapofikia mahali mtu anahama na ng'ombe wake, anamuondoa mwenyeji kwa nguvu hilo si jambo dogo.
Ndipo swali la JokaKuu linapopata nguvu kuwa je, watu hawa wanamsaada wa serikali yao? Na kama ni hivyo kuna nini nyuma ya msaada huo?

Kwanini Rwanda inayoongozwa na 'smart man' Kagame haizuii watu wake wabaki kwao kwenye maendeleo inalalamika wanaporudishwa? Kwanini Wanyarwanda wenye mkataba na Uganda na Kenya ambako juzi wamesaini kuingia nchi nyingine bila kitambulisho hawaondoki Tanzania na kuchangamkia fursa hiyo huko kwingine?

Kwanini Rwanda ione uchungu sana raia wake wanapoombwa warudi nyumbani kwao?
 

...Bi Mushikawabo anadai si jambo la ajabu kukuta makabila ya aina moja kupatikana kila upande wa nchi jirani....na kwamba.......Wanyarwanda walioko Rwanda wanazungumza Kiswahili...na si ajabu kuna Watanzania walioko Tanzania wanazungumza Kinyarwanda........its historical thing........lakini akasahu kuwa kila nchi ina sheria za uraia......uraia ni zaidi ya kuzungumza lugha.......
 
.....Strategies za General James Kabarebe zinawaponza........
 
Anashangaa eti Rwanda haikushirikishwa katika mpango wa kuwaondoa wahamiaji haramu. Hivi serikali ya Tanzania ingewashirikisha na kuwashauri kuhusu kuondoa raia wao si yangerudi yale yale ya matusi kwasababu Kgame hakubali ushauri yeye ni mitusi tu mdomoni? Kwani wahamiaji haramu ni wakimbizi kiasi cha kuhitaji serikali ya Rwanda ishiriki? Unless serikali hiyo ilijua uwepo wake na hapo ndipo tunahoji, je, wahamiaji haramu wana msaada wa serikali yao?
 
kuna wakati mwanakijiji anakuwa hawazi wala hafikirii linapokuja swala la Nyerere, kwake nyerere ni bible, ni quran ni kila kitu, kwake nyerere ni saint......mwanakijiji anashikiwa akili atakaposema lolote la nyerere kwani kwake nyerere hakosei

what a man
 
Katika moja ya maandiko niliyowahi kuyasoma inatajwa kuwa Watusi na Wahutu ni uzao wa Ethiopia > Israel

Asili yao ni ileile ya West Bank,Ukanda wa Gaza, nk "ardhi" ni urithi muhimu na jihadi ya kweli kwao,

Na hata ukisoma ule mkataba wa kuigawa kongo ulioingiwa kati ya Laurent Kabila, Kagame na Mseveni uliopewa jina la "Nchi ya Ahadi ya Watusi" utaona kuwa mazingatio makuu yalikuwa ni raslimali ardhi na madini,


Ukitulia na kutafakari kupitia nyaraka na machapisho mbali mbali yahusuyo Rwanda na kisha Kongo na Watusi unaweza kukubaliana na hoja ya mkuu Bukyanagandi
 

At least that is what statistics shows, that we have more complex ethnic distribution than anywhere in this world.

Tanzania kuidestabilise hawawezi na hawataweza hatawakijaribu! Nivizurikuchukua tahadhari lakini usidhani watz ni wamelala kisasi hicho.Instability in Congo is historical, it has been lk that ever since, because of some other reasons including ethnic distribution.

Kwani hawa watutsi have been in Tanzania today? Wapo Tanzania long time. Hivi kati ya watutsi na wasomali ni watu gani wakorofi, wakatili, wezi, au illiterate? Watutsi ni wabantu lakini pia wanaasili ya kisomalisomali, so mbona tumewatreat wasomali so decently?

Swala la kudhibiti wakimbizi kutoka Rwanda siyo swala la Rwanda, bali ni swala la Tanzania na Rwanda, and in the worse case it is Tanzanian responsibilities. Wewe jaribu kufuatilia jinsi Wakenya wanavyoingia Tanzania au watz wanavyozamia South Africa.

Watu kukimbia nchi zao kutokana na instability in their country is obvious, lakini ukiangalia kwa mapana uhamuzi wa Rais to selectively chase away Rwandese illegal immigrants was too political na unaleta picha mbaya sana na uhasama dhidi ya hii ethinic group.

CCM si ndo wao wanasemaga eti the believe that 'africa is one', kwa kuwabagua wanyarwanda?? Kwa sababu tu wanaroho mbaya au kauli z kisiasa za viongozi? Too bad too weak!!
 


Watutsi ni wabantu kama wabantu wengine,asikudanganye mtu! Hakuna cha pua wala nini. Wote wale ni african bantuz, tena wanaasili moja na some ethinic groups za kule Nigeria.

Wapo watu wenye asili ya israel, ambao inasemekana ni watoto wa Queen of Sheba aliozaa na Suleiman, lakini sidhani kama ni watutsi. Baada ya the fall of Cushite kingdom, wengi wao walibaki Ethiopia, lakini wengine walikimbilia maeneo ya Kenya na wengine wapo around Kilimanjaro region. Hii ni proof according to recent DNA studies.
 

Vema sana mkuu kwa maelezo murua,

Vipi mkuu, uliwahi kupata machapisho ya kusimama na kuimarika himaya za Kitusi na Kihutu katika Bonde la Ufa sambamba na kingo za mto Nile?
 


Haya rushasha na mukora1898...hii ndio tanzania mnayojivunia? subirini very soon mtakuwa kama wanaigeria halafu utakuja huku kutuomba passport ya kusafiria.
 
Mkuu nchi inalindwa na emotions zinazotokana na utaifa.
Nothing less!!

Pengine hujapitia somo la historia za major conflicts, za WWII.
Huko Marekani, naamini ndiko aliko MMKJJ, Wajapani karibu wote walikuwa rounded up, kutokana na wasi wasi juu ya allegience yao kwa Taifa la Marekani.
Huko Uingereza ndo kabisa Mjerumani yeyote aliwekwa mtu kati, na alikuwa tagged toka asubuhi hadi asubuhi.

Nyie mnacheza na Nji hii, for political expediency!!

Msijitakie sifa za huko nje wakati nchi yenu inawahitaji.
 
Vema sana mkuu kwa maelezo murua, Vipi mkuu, uliwahi kupata machapisho ya kusimama na kuimarika himaya za Kitusi na Kihutu katika Bonde la Ufa sambamba na kingo za mto Nile?

Heshima yako mkuu Yericko, naona jamaa wengi wanao zungumza humu hawajawahi kupitia machapisho husika au kupata fulsa ya kuishi na Watutsi kwa karibu. Binafsi nimewahi kuishi na kusoma na Watutsi, vile vile niliwahi kuwa na Girlfried wa Kitutsi ambaye alikuwa anasoma na kuishi NAIROBI, Tukija nimejifunza mambo mengi over the years kuhusu hulka la kabila hili, hulka na imani zao hazina tofauti na za Wayahudi na wanajiamini sana.

Tukija katika suala la ndoto za kutaka kuimarisha himaya ya KITUTSI - suala hilo ni la kweli kabisa si adithi za kutunga, huu ulikuwa ni mpango wao wa siku nyingi unao tekelezwa kwa umakini mkubwa through phases ntatoa mifano ya kuonyesha ukweli huo:

*Phase ya kwanza ilikuwa ni Uganda - M7 alishirikiana na Watutsi wakimbizi chini ya Kagame na Fred hao ndio walifanikisha kumuweka madarakani M7 kupitia mtutu wa bunduki kumbuka M7 ana damu ya Bahima ambao ni wale wale(Tutsi).

*Phase ya pili - M7 kawasaidia Watutsi kutumia mtutu wa bunduki kurudi Rwanda na walifanikiwa kumpindua Habyarimana now these same TUTSI are on driver's seat in Kigali - oh just hold on a second....

*Phase ya tatu: Kagame, M7 wakajitia kumsaidia Kabira Sr kuingia madarakani DRC kumbe agenda yao ya siri ni kumsimika Mtutsi mwenzao kwenye madaraka huko DRC - Kabila Sr aliuliwa kwenye mazingira ya kutatanisha aliye mrithi ajulikani vizuri vizuri origin yake wakati huo huo tunaelezwa kwamba Kabila Jr yuko fluent katika kuzungumza Kinyarwanda na mjomba wake ni Waziri wa Ulinzi wa sasa hivi nchini Rwanda one Kabarebe si hilo tu hata mamake yuko nchini Rwanda - je hii inatoa picha gani?

Mkuu Yericko hapo nataka kuonyesha kwa kifupi kwamba uimarishaji wa Himaya ya KITUTSI ulisha anza muda mrefu tu, wamekwisha tekeleza phases zao tatu za mwanzo kiulahini kabisa, kwa bahati mbaya Dunia haiwashtukii labda Mzee Robert Mgabe, Jacob Zuma, Sam Nijoma na Dos Santos siwezi kumsemea Rais wa hapa kwetu, lakini ma Rais wengine barani Africa wako kwenye usingizi wa pono hawaoni tishio la Watawala hawa barani Africa!

Mkuu Jericko, cha kujiuliza hapa ni je phase ya nne ambayo bila shaka hiko kwenye drawing board ya Military top Brass itahikumba nchi gani ya jirani - ninacho taka kusema ni kwamba tishio la jamaa hawa ni REAL sio imaginary, nikiona watu wanawaponda na kuwakejeri nashangaa sana.

Role model wa ABATUTSI(Tutsi) ni the so called Great Conqueror RWABUGIRI, huyo wanamchukulia kama Mungu wao wa hapa DUNIANI! mbinu zao za expansionism wanamu-emulate Rwabugiri to the letter. Watu wengi hawajuhi kwamba Watutsi sio wabantu per se, Watutsi wanazungumza lugha ya Kinyarwanda ambayo ni lugha ya kibantu lakini wenyewe asili yao walikuwa a Nilotic speaking population kutoka Horn of Africa na kasikazini, walijifunza kuzungumza lugha za kibantu baada ya kuhamia Great Lakes Area/Region.

Abatutsi (TUTSI) wako closer kigenitic na Wa Ethiopia, Wa Eritrea and would you believe it na "Wamasaai" sina hakika upande wa Wasomali (silika za Wasomali ni tofauti na Abatutsi - Somalis have nothing in common ki- genotype na zaidi ki-phenotype na WATUTSI).

Wanasayansi wanasema Watutsi na Wahutu ni wamoja genetically, sijuhi hii ilitokea kivipi labda kutokana na kuoleana! Haingii akilini kwamba binadamu ambao gene zao zinarandana wanazweza kuchukiana kwa kiwango cha KUTISHA.
 

Kwakweli tunahiji uwanja mpana zaidi kuwafunza wenzetu nasi kujifunza mengi toka kwao juu ya Rwanda, Watusi,Wahutu na Kongo kwa ujumla
 

Unavyotoa mfano wa vita kuu unamaana gani wakati hapa hatuzungumzii vita? Hiyo inaonyesha wale walitumia emotions zao zaidi ndo maana walipigana, au wewe haujaipata point yangu? Umeona jinsi the Soviet ilivyoporomoka bila hata kushika mtutu, ......acha bana! Watutsi kitugani bana, tunahitaji viongozi wazuri tu, waadilifu na wenye upendo wa dhati kwa watz wote bila kujali kitu chochote.

Hili ni tatizo sana kwa sasa in Tanzania kuliko hao watutsi wenu!
 
Vema sana mkuu kwa maelezo murua,

Vipi mkuu, uliwahi kupata machapisho ya kusimama na kuimarika himaya za Kitusi na Kihutu katika Bonde la Ufa sambamba na kingo za mto Nile?

Mkuu haya machapisho kuhusu kuimarika kwa himaya ya kitutsi na kihutu kth bonde la ufa siyafahamu, ila i know DNA studies. Unaweza kufuatilia DNA za wabantu in sub saharan region through wikipedia, itakupa muelekeo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…