Heshima yako mkuu Yericko, naona jamaa wengi wanao zungumza humu hawajawahi kupitia machapisho husika au kupata fulsa ya kuishi na Watutsi kwa karibu. Binafsi nimewahi kuishi na kusoma na Watutsi, vile vile niliwahi kuwa na Girlfried wa Kitutsi ambaye alikuwa anasoma na kuishi NAIROBI, Tukija nimejifunza mambo mengi over the years kuhusu hulka la kabila hili, hulka na imani zao hazina tofauti na za Wayahudi na wanajiamini sana.
Tukija katika suala la ndoto za kutaka kuimarisha himaya ya KITUTSI - suala hilo ni la kweli kabisa si adithi za kutunga, huu ulikuwa ni mpango wao wa siku nyingi unao tekelezwa kwa umakini mkubwa through phases ntatoa mifano ya kuonyesha ukweli huo:
*Phase ya kwanza ilikuwa ni Uganda - M7 alishirikiana na Watutsi wakimbizi chini ya Kagame na Fred hao ndio walifanikisha kumuweka madarakani M7 kupitia mtutu wa bunduki kumbuka M7 ana damu ya Bahima ambao ni wale wale(Tutsi).
*Phase ya pili - M7 kawasaidia Watutsi kutumia mtutu wa bunduki kurudi Rwanda na walifanikiwa kumpindua Habyarimana now these same TUTSI are on driver's seat in Kigali - oh just hold on a second....
*Phase ya tatu: Kagame, M7 wakajitia kumsaidia Kabira Sr kuingia madarakani DRC kumbe agenda yao ya siri ni kumsimika Mtutsi mwenzao kwenye madaraka huko DRC - Kabila Sr aliuliwa kwenye mazingira ya kutatanisha aliye mrithi ajulikani vizuri vizuri origin yake wakati huo huo tunaelezwa kwamba Kabila Jr yuko fluent katika kuzungumza Kinyarwanda na mjomba wake ni Waziri wa Ulinzi wa sasa hivi nchini Rwanda one Kabarebe si hilo tu hata mamake yuko nchini Rwanda - je hii inatoa picha gani?
Mkuu Yericko hapo nataka kuonyesha kwa kifupi kwamba uimarishaji wa Himaya ya KITUTSI ulisha anza muda mrefu tu, wamekwisha tekeleza phases zao tatu za mwanzo kiulahini kabisa, kwa bahati mbaya Dunia haiwashtukii labda Mzee Robert Mgabe, Jacob Zuma, Sam Nijoma na Dos Santos siwezi kumsemea Rais wa hapa kwetu, lakini ma Rais wengine barani Africa wako kwenye usingizi wa pono hawaoni tishio la Watawala hawa barani Africa!
Mkuu Jericko, cha kujiuliza hapa ni je phase ya nne ambayo bila shaka hiko kwenye drawing board ya Military top Brass itahikumba nchi gani ya jirani - ninacho taka kusema ni kwamba tishio la jamaa hawa ni REAL sio imaginary, nikiona watu wanawaponda na kuwakejeri nashangaa sana.
Role model wa ABATUTSI(Tutsi) ni the so called Great Conqueror RWABUGIRI, huyo wanamchukulia kama Mungu wao wa hapa DUNIANI! mbinu zao za expansionism wanamu-emulate Rwabugiri to the letter. Watu wengi hawajuhi kwamba Watutsi sio wabantu per se, Watutsi wanazungumza lugha ya Kinyarwanda ambayo ni lugha ya kibantu lakini wenyewe asili yao walikuwa a Nilotic speaking population kutoka Horn of Africa na kasikazini, walijifunza kuzungumza lugha za kibantu baada ya kuhamia Great Lakes Area/Region.
Abatutsi (TUTSI) wako closer kigenitic na Wa Ethiopia, Wa Eritrea and would you believe it na "Wamasaai" sina hakika upande wa Wasomali (silika za Wasomali ni tofauti na Abatutsi - Somalis have nothing in common ki- genotype na zaidi ki-phenotype na WATUTSI).
Wanasayansi wanasema Watutsi na Wahutu ni wamoja genetically, sijuhi hii ilitokea kivipi labda kutokana na kuoleana! Haingii akilini kwamba binadamu ambao gene zao zinarandana wanazweza kuchukiana kwa kiwango cha KUTISHA.
Phase #4 , wasipokuwa makini itakula kwao!!