ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
kwa hiyo serikali ndio imekumbuka kwamba wahamiaji haramu wanatakiwa kuhama baada ya kitisho cha kagame-(I will hit you).
Walishambuliwa wanajeshi wetu na boti zao kuzamishwa hapo mwambao wa ziwa Tanganyika lakini sikusikia kauli ya 'Bwana kubwa'
Naweza sema thanks to Kagame kwa kukumbushia majukumu ya serikali yetu.
Tatizo lenu ni kutokuelewa ujumbe unaotolewa halafu kutengeneza false conclusions.
Umeshawahi kumsikia Kikwete akisema anawaondoa wahamiaji toka Rwanda?
Maamuzi ya Rais ni secondary to safari yake ya kikazi mkoani Kagera na si maamuzi yanayowahusu wanyarwanda, yanawahusu wahamiaji haramu bila kujali walipotoka. Au hujui kwanini viongozi hufanya safari za kikazi?