Here we go now, kama hili lingefanyika kwa usawa walau ningepunguza sio kuondoa kabisa lawama zangu.
Lakini kikwete hajafanya hivyo amelenga wanyarwanda pekee kwanini? kwa vipi sheria hii isiwafurushe wasomali, wachina
na wahindi wahamiaji haramu?.........hapa napata kigugumizi kunajambo nyuma ya pazia ni lipi hilo!!!!
....hebu tuonyeshe ni wapi JK alilenga Wanyarwanda........hivi ulisikiliza hotuba yake kweli wewe?.........au unataka kutuambia kuwa sherehe za Mashujaa tulizipanga baada ya uhasama wa JK na PK kuwa zifanyikie Kagera?.........au kilio cha wananchi wa mikoa ya kanda ya maziwa makuu nacho kilipangwa......na kiliwalenga Wanyarwanda..........