Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

Hujaielewa hoja yake.

Ni hivi anashangaa mnaposema watekaji ni wanyarwanda lakini mbona mambo ya utekaji yanafanyika takribani nchi

nzima?
akatowa mifano ya barabara zenye matatizo namimi nakubaliana naye 100%

Unatakiwa kukanusha maelezo yake kwa hoja sio kupindapinda.
Kama unadhani sijaelewa si umjibu wewe uliyeelewa; Mwacheni ndugu rais afanye kazi yake.
 
Mwanakijiji kaleta mchango mzuri,
katika Hali kama hii watu wengi hujinufaisha Kwa kupitia mgongo wa tamko la rais, tayari wamejaa pale karagwe kununua ngombe za watu Kwa bei ya kutupa kicheko hadi magego ya mwisho! Pale kuna waliofutiwa vibali vya kuishi eti waombe upya wakati huo siku za kuishi zinahesabika. Katika Hali hii Wanaoandamwa hapa ni wenye kutoka Rwanda, mimi naonya tusijifanye vipofu kudhulum na kunyang'anya watu mali zao na haki zao, penye haki ya mtu serikali iilinde kuliko chochote. Tusijipofue macho kuonea wanyarwanda eti kwaajili ya matamshi ya kagame na JK! Hukumu ya dhambi ni mauti na itakuwa hapa hapa nduniani. Pia tupunguze kutukana wanyonge na wenyeshida Kwa kuwa tuko nyumbani na tumekula ndugu zetu walio nje wanaishi Kama wageni haram usa, uk etc na ndiyo watumia familia zetu nyingi school fees. Tukana ukikumbuka ndugu yako aliye nje ya Tanzania

Nikweli mkuu, maelezo yako yanahekima na maono zaidi ya ushabiki, upenzi na haya maamuzi ya kipropaganda bila

kuzingatia hali halisi na ukweli wa mambo.
 
ujasiri sio kufukuza vizee kule mpakani.Ujasiri ni kumtimua balozi wa Rwanda nchini na kufunga ubalozi wetu Kigali.

Kwanza tunaanza na hao wazee wako wahamiaji haramu. Message delivered, ujinga ukiendelea wacha balozi, tunafukuza Kagame mwenyewe. Hilo likumbuke.
 
Kwanza tunaanza na hao wazee wako wahamiaji haramu. Message delivered, ujinga ukiendelea wacha balozi, tunafukuza Kagame mwenyewe. Hilo likumbuke.

Una mikogo wewe!
Una maana Kagame ameshaogopa?
Tusije sikia kauli za ''nilishauriwa vibaya''
 
Kama unadhani sijaelewa si umjibu wewe uliyeelewa; Mwacheni ndugu rais afanye kazi yake.

Swala sikumtatiza kikwete, lakini anasimamia sheria ipi inayochaguwa wahamiaji haramu?

Je ametambuwa uwepo wa sheria hii baada ya mzozo wake na kagame? alikuwa wapi hapo awali?

Je maafa yanayosababishwa na wanyarwanda kwa madai yenu ni zaid ya uhalibifu wa jamii yetu kwa madawa ya kulevya? Mbona hachukuwi hatua huku kunanini hasa?

Je, ufisadi wa mabilioni na ukosefu wa elimu na afya bora havioni huyo kikwete isipokuwa wanyarwanda?

Japokuwa mnalazimisha tuamini kwamba anasimamia sheria, nijambo la ajabu sana kuona sheria anayosimamia kikwete inafanya kazi kwa baadhi ya watu tu, wachina, wasomali na wahindi wao hii sheria ni kibogoyo/haitumiki.
 
Mkuu hizi argument hazitupeleki kokote, tulitakiwa tujiulize kama hoja alizotoa rais ni za kweli au si za kweli. Na kingine sijui kwa nini mnaamua kuchanganya mambo? Yeye amesema wahamiaji wote haramu waondoke ndani ya wiki mbili na kama mpaka sasa wanaoondoka ni hao kutoka Rwanda kumbe basi ni wazi Rwanda ina wahamiaji wengi haramu nchini Tanzania. Kama wengine kutoka nchi zingine wapo na hawajaanza kuondoka basi baada ya wiki mbili kuisha na chchote kisifanyike basi hapo mtakuwa na cha kuongea lakini kwa sasa wanaotii hilo agizo acheni watii na warudi kwao au wafuate taratibu za uhamiaji. Unaposema kwamba kwa nini ni kwa wahamiaji wa waliko Kagera na unajaribu kugusa vitu vingi vingi pamoja na madawa ya kulevya unajua kuna kesi ngapi za madawa ya kulevya ziko mahakamani? na isitoshe lazima kuna wakati na mahali utaanzia kufanya kitu huwezi kuanza kila mahali na muda usiojulikana, lazima kuwa na muda na mahali, labda nikuulize swali na wewe, ulitaka aanze na nini na angeanza lini?
 
Una mikogo wewe!
Una maana Kagame ameshaogopa?
Tusije sikia kauli za ''nilishauriwa vibaya''

Kagame hajaanza leo kuogopa na kuongopa. Umeisoma hotuba ya Kikwete ya Addis? nioneshe ni kipi kibaya alichokiandika? kama hujaisoma kaitafute.

Kwanza tunawafukuza hao unaosema wewe ni wazee, kwanini tulee vizee kwetu wakati wana makwao? hivi wewe ushindwe kuwahudumia wazee wako utusukumie sisi? unanchekesha!
 
Mkuu hizi argument hazitupeleki kokote, tulitakiwa tujiulize kama hoja alizotoa rais ni za kweli au si za kweli. Na kingine sijui kwa nini mnaamua kuchanganya mambo? Yeye amesema wahamiaji wote haramu waondoke ndani ya wiki mbili na kama mpaka sasa wanaoondoka ni hao kutoka Rwanda kumbe basi ni wazi Rwanda ina wahamiaji wengi haramu nchini Tanzania. Kama wengine kutoka nchi zingine wapo na hawajaanza kuondoka basi baada ya wiki mbili kuisha na chchote kisifanyike basi hapo mtakuwa na cha kuongea lakini kwa sasa wanaotii hilo agizo acheni watii na warudi kwao au wafuate taratibu za uhamiaji. Unaposema kwamba kwa nini ni kwa wahamiaji wa waliko Kagera na unajaribu kugusa vitu vingi vingi pamoja na madawa ya kulevya unajua kuna kesi ngapi za madawa ya kulevya ziko mahakamani? na isitoshe lazima kuna wakati na mahali utaanzia kufanya kitu huwezi kuanza kila mahali na muda usiojulikana, lazima kuwa na muda na mahali, labda nikuulize swali na wewe, ulitaka aanze na nini na angeanza lini?

Labda useme anamaliza na nini, hawezi kuanza maana muda unayoyoma naye akiruka angani kila siku mithili ya tetere

1.Miaka saba madarakani anawafahamu wezi wa EPA hakuweza kuchukuwa hatua kwa swahiba zake hivyo kuwasamehe

2.Miaka saba madarakani anawafahamu wauza unga hajachukuwa hatua atachukuwa lini ndugu, watoto, jamaa na marafiki wanateketea!

3.Miaka saba madarakani anawafaham walioficha mabilioni hajachukuwa hatua wala hanasababu

4. Miaka zaidi ya miwili sasa lile dege la jeshi huko arabun likatua na kuchukuwa twiga wazima nani alitoa kibali

5. Miaka inayoyoma magamba ameshindwa kuyavuwa kwa makada wezi na mafisadi wa ccm
.
.

Orodha ni ndefu atamaliza nanini labda mpaka apigwe short ya msukosuko kama ule wa kagame labda ataweza amua

amalize na nini maana ndiyo anamaliza muda wake madarakani nayeye ni bigwa wa kutenda kwa visasi na propaganda.
 
Maamuzi ya hekima na busara pekee hutoa majibu sahihi kwa matatizo mabalimbali.

Maamuzi ya kidikiteta, lazima na visasi hasa huishia katika utata, majanga na hata vita visivo na sababu wala lazima

Sikuwahi kusikia nyerere kawafukuza waganda kagera hata siku moja, nakama ilifanyika mwenyetaarifa sahihi aziweke hapa.

Hata pale Nyerere alipofanikiwa kuwatiamikononi wanajeshi na dege lao kutoka Libya, Nyerere aliwarejesha kwao kwa utaratibu maalum (kumbuka mateka wa kivita na waliletwa kwa lengo moja tu wale waarabu kutumaliza)

Nasikitika sana sana kwetu watanzania kushupalia kitendo hiki kiovu, kibaya na kinacholihalibia sifa nzuri taifa letu.

Hili ni tatizo:-

-kikwete anapoelekeza nguvu zake kwa kundi maalumu la watu maalu pekee.

-Kikwete anapochukuwa hatua bila maandalizi wala ushikishwaji bora wa wahusika

-Kikwete bila kuzingatia kwamba huko kwa majirani zetu, pia wapo watanzania wengi wanaioshi bila vibali kama hawa.

Nadhani Kiongozi wanchi yampasa kuruhusu hekima zaid kuchukuwa nafasi yake zaidi ya chochote.

Nafikiri vyombo vya habari na mitandao vinapotosha agizo la JK. Agizo lilikuwa katika mambo mawili. Kwanza wale wote wenye silaha kinyume cha sharia wazisalimishe. Pili wahamiaji haramu ama waombe uraia au warejee kwao. Wote walipewa muda. Bahati mbaya sasa inafanywa kama walengwa ni Wanyarwanda! Kumbuka maeneo hayo ya kanda ya ziwa kuna wahamiaji harmu kutoka nchi zote tunazopakana nazo, wakiwemo Warundi, Wakongo, Wanyarwanda, Waganda, Wakenya na hata Wasomalia! Sasa haya ya Rwanda pekee yanatoka wapi kama si kutaka kukuza mgogoro?
 
ni kawaida yenu mnapobanwa huwa mnasema 'mlininukuu vibaya'
 
Mwanakijiji....

Naona hapa umejaribu kulinganisha mogogoro baina ya JKN(R.I.P) na Idd Amin Dada ambao kimsingi ndio ulipelekea vita vya Kagera na huu wa sasa kati ya JMK na PK...

Kuna tofauti kubwa zana kati ya migogoro hiyo miwili.....

Pia tusiwaaminishe watu kwamba wahamiaji haramu hawa wanaondolewa kwa sababu ya 'mgogoro' kati ya marais JMK na PK...Hawa wameamriwa kuondoka kufuatia kilio cha wananchi wa mkoa wa Kagera hususan wilaya ya za Karagwe, Kyerwa na Biharamuro juu ya kukithiri kwa wimbi la ujambazi wa kutumia silaha nzito za kivita ambapo wengi wa majambazi/ wahalifu hao ni wahamiaji haramu toka nchi za Rwanda, Burundi na DRC...Hili lipo wazi kabisa na watu waliopita njia inayopita katika wilaya hizo watakubaliana na wananchi hao juu ya unyama wa majambazi hao....

So tofauti ya JKN katika kuwashughulikia wahamiaji haramu wa Uganda na JMK ni hiyo...

Bala.
 
Mbona huyajui? Muh. JK alisema wahamiaji haramu na wanaotufanyia fujo waondoke na sikusikia jina la Rwanda au wanyarwanda period. Watu wasituchonganyishe.
 
Tamko la JK kuhusu wahamiaji haramu ni sahihi kuzingatia maisha walioyokuwa wanaishi watu wa mikoa hiyo.Nimewahi kusafiri kwa basi hadi bukoba kutokea dar...Baada yta kufika Nyakanazi tukaambiwa sasa tunaingia kwenye eneo la msitu ambao ni hatari...kuna majambazi ambao wanateka na kufanya lolote wanalotaka....hawa majambazi ni watu kutoka rwanda na Burundi ambao wanamiliki silaha.Maisha ya wananchi wa maeneo yale yamekuwa ya hofu....Ni sahii JK kutoa order hiyo hata kama kusingekua na mabishano na kageme.

Hii ni Tanzania...ina sheria zake......kama unataka kuwa mtanzania fuata taratibu...ukikwepa taratibu...utakuwa accountable kwa matendo yako.
 
Hivi mkuu wewe ni Mzee Mwanakijiji wa siku zote ambaye alikua anachambua mada vizuri na kwa busara kubwa au mtu anatumia jina lako?. Siku za karibuni umebadiluka sana! Kwenye hizo quote zako zote za bible,quran na katiba ya Tanzania kumeainishwa na kumefundisha watu wafuate taratibu na sheria zilizowekwa na mamlaka husika. Mbona hauja quote vipengele hivyo? Ulipenda watu waishi nchi si yao wakiwa si raia na wanyamaziwe?.Ulipenda watanzania walalamike kuhusu uhalifu wanaofanyiwa kila siku kwenye nchi yao. Ulipenda hali ya kusindikizwa na mapolisi kila watu wanapotaka kusafiri toka wilaya moja kwenda wilaya nyingine ndani ya nchi yao?. By the way wanaoondolewa kule si wanyarwanda peke yao ni raia wote wa kigeni ambao wanaishi isivyo halali.Mifano na quotes na refferences ulizotoa hazihusiani kabisa na linaloendelea kule. Pia hakuna nchi yeyote inayoruhusu mhamiaji kuishi akiwa hana passport,working permit au documents za kuhalalisha ukaaji wake. Kuhusu kuoana wala hakukatazwi ila asiye raia aombe uraia ili aishi ki halali.Ndio maana nikasema wewe ni yuleyule au tutegemee mwingine!?
haya mambo ya kusindikiza mabasi hayakuwa Kagera tu maana nakumbuka kuna kipindi zilikuwa zikitolewa escot tena kali kati ya Sheluhi - Singida - Manyoni na Babati ambako sidhani kama kuna Wanyarwanda huko. Kusubject aina ya watu fulani katika suala lolote ni kitu hatari sana lakini mimi ninachokiona Watanzania wengi huwa wanajua kuwa nchi ni Dar es Salaam tu na ni wazi katika haya masuala ya kutoelewana na nchi jirani wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya jirani kama Bagamoyo, Chalinze hamtaathirika sana kama sisi tulioko huku.
Sasa naanza kuelewa umuhimu na ugumu wa hiki cheo cha AMIRI JESHI MKUU!

Tamko la JK kuhusu wahamiaji haramu ni sahihi kuzingatia maisha walioyokuwa wanaishi watu wa mikoa hiyo.Nimewahi kusafiri kwa basi hadi bukoba kutokea dar...Baada yta kufika Nyakanazi tukaambiwa sasa tunaingia kwenye eneo la msitu ambao ni hatari...kuna majambazi ambao wanateka na kufanya lolote wanalotaka....hawa majambazi ni watu kutoka rwanda na Burundi ambao wanamiliki silaha.Maisha ya wananchi wa maeneo yale yamekuwa ya hofu....Ni sahii JK kutoa order hiyo hata kama kusingekua na mabishano na kageme.

Hii ni Tanzania...ina sheria zake......kama unataka kuwa mtanzania fuata taratibu...ukikwepa taratibu...utakuwa accountable kwa matendo yako.
Ni kweli kuna hali hii lakini hata ukimuuliza vizuri Kamanda Tossi (kama sikosei) aliyeshughulikia operesheni ya kusafisha haya mapori, waliobainika kuhusika na huu uhalifu hawakuwa wageni bali wenyeji tena kutoka mikoa mingine ya Tanzania na kwa kiasi fulani wakiwemo hao mnaowasema. Kawaulize vizuri watu wa maeneo hayo watakupa taarifa zaidi. Tusiwe subjective hivi maana tutaishi kutopata majibu na kuwasababishia matatizo zaidi wakazi wa maeneo haya kwa kisingizio cha 'wahamiaji haramu'.

Hivi kweli Rais akitukanwa nchi zina kwenda vitani? hili ndio swali la msingi.
George Bush alitukanwa na kudhalilishwa sana na Hugo Chavez wa Venezuela, lakini hata siku moja haijawahi kufikiriwa vita baina ya nchi hizo mbili.

mipakani mwa nchi zote duniani hata USA kunao wahamiaji wasio na vibali, wengine wanaishi na wamezaliana na wenyeji, infact nao wameshakuwa wenyeji...na hao ndio wanaunganisha undugu wetu.
kitendo cha kuwapa siku 14 watu walio wanaoishi hapo kwa muda mrefu sio haki ya kibinadamu...unyama.
Tukumbuke migogoro ya kidiplomasia haituhusu sisi raia wa kawaida...raia wa nchi hizi mbili ni ndugu .

kama swala ni uhalifu criminal basi hiyo ni kazi ya Afande Mwema polisi....anayemiliki silaha bila kibali, jambazi, anayemwagia wengine tindikali , hiyo ni kazi ya afande Mwema.

na kama suala ni Uhamiaji basi zipo sheria za uhamiaji...na mambo kama naturalization.
 
Nyerere aliingiza nchi vitani dhidi ya waganda kwa sababu zake mwenyewe na pia kulikua hakuna sababu ya msingi kwa Tanzania kipigana na Uganda tuliingia vitani na Uganda kwa maslahi binasfi ya wachache na hata Leo km tutaingia vitani dhidi ya Wanyarwanda ni kwa maslahi binafsi ya wachache!
 
Fukuza fukuza inaonesha ujasiri na inawaonesha watutsi kama wewe kuwa tunaweza kuwashughulikia.

Na aendelee, kwani UN wamepewa ushauri mzuri kabisa, Kagame aendelee aone dunia itamfanua nini.

Kama anatafuta pakutokea, hapo ni wrong number.

Nna uhakika kuwa Kaagame ameshajuwa kuwa "his days are numbered" na iliyobaki anatafuta "scapegoat".

Kama umeisoma hotuba ya Kikwete aliyoitoa Addis Ababa utaona kuwa Kikwete aliongea maneno yanye maana na busara sana kwa mpenda amani yoypte duniani.
katika jambo lolote iwe la kufundisha au kusaidia liria taswira mbili, iwe la kuchukua hatua na la kiutu au tuseme la kidiplomasia na ndio maanaa utaona usa na wengineo katika kuondoa wahamiaji wanaangalia kama unafamili umekaa miaka mingapi, na mchango wako kiuchumi, na pia muda au wakati wa kuchukua hatua, na hata katika vita kuna kupigana na propaganda au hiyo diplomasia, sasa hapa tulipokosea ni nye diplomasia
 
Back
Top Bottom