Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

wewe mwanakijiji hujui unaongea nini. Sijawahi hata siku moja kuelewa akili yako. Blah blah nyingi.
Chuki zako na kikwete ni binafsi na sizielewi zinatoka wapi.
Maamuzi ya kikwete hayakutokana chuki au vita ya maneno na that so called president of Rwanda.Waulize waliotoka kule mikoa ya nchi jirani na rwanda watakuambia,fedhea na matatizo yaliyoko kule kwasabbau ya wageni. na mara nyingi hawa watu hukumbilia nchi jirani panapokuwa na shida imetokea
pia ikumbukwe matatizo ta nchi zetu za africa ba ardhi na wapi yanapoanzia.Utagundua kwanini hawa watu waliitaji kufukuzwa. marekani hata kama una greencard ukafanya crime utaondoka nchini mwao believe me.
tukirudi katika matatizo ya waafrica na ardhk zao. Sitashangaa siku moja baadae kagera ikaitwa ni sehemu ya wanyaruanda kwasababu walikaa pale for years and years watakuwa na kila sababu kusema ni kwao.
hapa cha msingi ni kuweka mstari na kuweka solid lines on immgration issues in tanzania .
kwahiyo unapoongea hzi vitu sababu ya kikwete nakushangaa.
 
Fukuza fukuza inaonesha ujasiri na inawaonesha watutsi kama wewe kuwa tunaweza kuwashughulikia.

Na aendelee, kwani UN wamepewa ushauri mzuri kabisa, Kagame aendelee aone dunia itamfanua nini.

Kama anatafuta pakutokea, hapo ni wrong number.

Nna uhakika kuwa Kaagame ameshajuwa kuwa "his days are numbered" na iliyobaki anatafuta "scapegoat".

Kama umeisoma hotuba ya Kikwete aliyoitoa Addis Ababa utaona kuwa Kikwete aliongea maneno yanye maana na busara sana kwa mpenda amani yoypte duniani.
Revenge za nini kwa hawa watu maskini kabisa ambao wanatakiwa kusaidiwa tuu,hawana hata viatu na hata mabegi yao ni magunia ya ya kubebea viazi shambani,kama mna shida na kagame deal naye sio kutafuta wanyonge kama hawa na mbuzi zao kulipiza visasi kwa jina la uhamiaji haramu
 
wewe mwanakijiji hujui unaongea nini. Sijawahi hata siku moja kuelewa akili yako. Blah blah nyingi.
Chuki zako na kikwete ni binafsi na sizielewi zinatoka wapi.
Maamuzi ya kikwete hayakutokana chuki au vita ya maneno na that so called president of Rwanda.Waulize waliotoka kule mikoa ya nchi jirani na rwanda watakuambia,fedhea na matatizo yaliyoko kule kwasabbau ya wageni. na mara nyingi hawa watu hukumbilia nchi jirani panapokuwa na shida imetokea
pia ikumbukwe matatizo ta nchi zetu za africa ba ardhi na wapi yanapoanzia.Utagundua kwanini hawa watu waliitaji kufukuzwa. marekani hata kama una greencard ukafanya crime utaondoka nchini mwao believe me.
tukirudi katika matatizo ya waafrica na ardhk zao. Sitashangaa siku moja baadae kagera ikaitwa ni sehemu ya wanyaruanda kwasababu walikaa pale for years and years watakuwa na kila sababu kusema ni kwao.
hapa cha msingi ni kuweka mstari na kuweka solid lines on immgration issues in tanzania .
kwahiyo unapoongea hzi vitu sababu ya kikwete nakushangaa.
just call as it is,hakuna issue ya uhamiaji haramu hapo ni revenge tuu za JK kwa maneno ya kagame something which is very wrong,furahia wewe leo lakini the same politics zinazotumika to punish one group usilalmike kesho zikitumika kwako...waulize Germany na NAZI labda utajifunZa kitu.
 
Ndugu yangu, I feel ashamed kuona Waafrika wenzetu, majirani, wakibeba virago vyao kurudi kwao wakati Wasomali, Wahindi, Wapakistani wazungu na Wachina wakila sahani moja na viongozi wa CCM na hawa tunawaona eti ni watu wanaotuletea neema. Nenda Rufiji leo uone ni Wasomali wangapi wamenunua ardhi kule. Mwalimu angekuwa hai hivi leo naye angeona aibu eti tunawatimua Wanyarwanda just because Kikwete ana beef na Kagame. It is a shame. Kweli Tanzania ya Julius Nyerere imefika hapo?
Katika mjadala huu kuna hoja zinajirudia pengine kukwepa ukweli au kujenga hali fulani ya huruma kwa kufumbia macho baadhi ya ukweli.Nitazirejea kwa ujumla.

1. Mkuu Jasusi, mazingira aliyoishi Nyerere ni tofauti na sasa. 9/11 ilibadili mazingira ya dunia na kupelekea hata kukiuka misingi ya haki za binadamu. Leo ukiwa Marekani unapitishwa katika mashine za X ray kukaguliwa. George Washington au FDR wangeyaona wangeshtuka kama ambavyo Nyerere asingependa kuona yaliyotokea. Hata hivyo wote wangekubaliana kuwa mazingira yamebadilika,wapo akina Kagame siyo Bokasa au Hitler, wanotishia kuua viogozi wenzao mithili ya akina Musolin na Idd Amin

Nyerere asingevumilia kuona raia wake wakiondolewa katika ardhi Kagera ili kupisha Wanyarwanda kwasababu tu Watanzania hatupo hivyo na lazima tuone aibu. Kwanini tuone aibu kumuondoa mhalifu tusione aibu raia wa Kagera anapobeba virago kukimbia nyumbani kwao na kuhamia Nyarugusu na Tabora?

Kuhusu Wasomali, Wahindi na Wapakistan kuwepo nchini, hilo ni tatizo la utawala.
Hakuna nchi duniani ikiwemo ambayo haina wahamiaji haramu.
Tofauti ni jinsi gani wahamiaji hao wanavyoweza kuleta madhara.

Wachina 100 Dar hawana impact ya usalama kama Wanyarwanda 20,000.
Hivyo jinsi gani unahangaika na makundi haya inategemea factors nyingi na si uhamiaji haramu tu.

DRC walikuwa na huruma kama ya mkuu Jasusi , kutotaka kuwaudhi waafrika wenzetu.
Matokeo yake ni Wanyarwanda kudai Kivu kama nchi. Sijui tunataka hilo litokee Kagera. Wahamiaji haram 20,000 katika sehemu moja ni hatari isyoyoweza kufumbiwa macho kwa usalama.

Kuhusu Wasomali, Tanzania imetoa mkoa wa Tanga, Handeni kwa ajili yao. Ikumbukwe Wasomali asili yao ni Handeni na kwa msingi huo Tanzania ikasema hawa ni wetu, na Kagame anapaswa kufanya hivyo bila kulalamika. Lakini pia inaonyesha jinsi gani tulivyo wakarimu

Ogah Kama kuna kilio cha siku nyingi cha mikoaa ya magharibi ni usalama. Kila mtu anajua kuwa ujambazi uliambatana na ukimbizi hata UN waliambiwa na Mkapa.

Mkapa alisema bajeti ya Wakimbizi wa Rwanda ni zaidi ya bajeti ya elimu achilia mbali gharama za ulinzi na usalama. Kwa mtu aliyewahi kusafiri kuelekea mikoa ya Kagera anajua hilo. Vipi leo tuonekane wahalifu kuondoa wahalifu na si kuhifadhi watu milioni 2 tena kwa gharama yetu huku Kagame akiwa porini anawamwagia risasi?

Tulipopokea wakimbizi milioni hatukuonekana wakarimu, leo tunaondoa wahalifu 20,000 tunaonekana hatuna ukarimu. Tuliporudisha wakimbizi kwa amani kwao hatukuonekana wakarimu, leo Kagame aliyewatandika na kukata vichwa vya Wanyarwanda anaonekana mwanadiplomasia kwa kupokea mabaki ya uhalifu wake.

Tulifiwa na jamaa Kigoma na ilibidi asafirishwe. Tatizo halikuwa kupata usafir, tatizo lilikuwa kumuomba RPC atoe kikosi cha askari 7 wenye zana za kivita ili tuweze kusafiri ndani ya nchi yetu na marehemu.
Sijui hili linasemwaje na wale wanaosema hawa ni ndugu zetu na waafrika wenzetu.

Kama picha inavyoonekana ya mama akiwa na watoto wakirudi Rwanda ndio adha tulityopata ya marehemu kuanza kuharibika kwasababu tu hatuwezi kusafiri katika nchi yetu kwa huruma za ubinadamu kwa Wanyarwanda ambao hawana huruma na sisi.

Richard Wahamiaji haramu wapo kama nilivyosema lakini wahindi 3 siyo tishio la usalama kama kundi la 20,000 ambao Kagame anaweza kuwapa silaha waendelee na mauji.

Ni Kagame ametoa silaha kwa Wanyarwanda DRC na sasa wananchi milioni 3 wa DRC wameuawa, wamebakwa wengine kukimbia makwao kama walivyokimbia Wanyambo, wahaya na wahangaza wa Kagera, DRC inatakiwa igawanywe ili iwe Kivu kuendeleza eneo la utawala la Kagame.

Kuhusu matumizi ya silaha niliyosema, Richard mhamiaji haramu amekuja kwa njia haramu bila ku-declare amekuja na nini. Tunachojua wanakuja na magrenade ili kuua Watanzania wa Kagera kwa minajili ya kutwaa ardhi ya mifugo yao.

Kwamba mifugo yao ni muhimu sana kuliko raia wa nchi yetu. Kama hatutaweza kufikiria hilo basi tuna tatizo kubwa sana zaidi ya uhamiaji haramu.

Kwa ujumla, hoja ya kuwarudisha Wanyarwanda inaambatana na usalama wa taifa, haki za wananchi wa Kagera kuishi kwa amani kama katiba inavyosema na tartibu za kimatifa.

Sikubaliana na hoja ya huruma kwa waliohamia kwa njia haramu huku nikifumba macho kwa akina mama na watoto wa Kagera wakigeuzwa kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao.

Mwananchi wa Kagera analindwa na katiba ya JMT ambayo haimtambui Mhamiaji haramu kutoka Rwanda au kwingine isipokuwa kwa kipengele kimoja tu, kwamba ni mhalifu aliyevunja sheria na anastahili adhabu kali sana wala si kuombwa aondoke.

Ninashangaa kwanini Tanzania ionekane imefanya jambo la ajabu wakati Kenya na Uganda walipigana kwa ajili ya KM 1 ya migingo. Kwamba watu 500 walitaka kuleta balaa kubwa sana na sisi wenye 20,000 tunaonekana tuna haki ya kuwahifadhi.

JokaKuu ameeleza kuwa hili zoezi limekuwa linafanyika mara kwa mara. Hebu fikiria kama Tanzania iliomba UN wakimbizi warudishwe na UN ikakubali na kusaidia, hivi huruma ya wahamiaji haramu ambao ni wauaji kwa tabia zao inatoka wapi?

Hivi ni kwanini tuingie gharama kwa bajeti kubwa badala ya kuwaondoa uhamiaji kila mahali ili atakaye kuja Tanzania aje tu. Kwanini tusifute sheria hiyo katika vitabu vyetu kwasababu huo siyo utanzania na kwamba Mnigeria, Mmalawai, Mghana aje tu kwa vile ni mwafrika mwenzetu na sisi ni wema sana.
 
Last edited by a moderator:
Revenge za nini kwa hawa watu maskini kabisa ambao wanatakiwa kusaidiwa tuu,hawana hata viatu na hata mabegi yao ni magunia ya ya kubebea viazi shambani,kama mna shida na kagame deal naye sio kutafuta wanyonge kama hawa na mbuzi zao kulipiza visasi kwa jina la uhamiaji haramu

Hapo hakuna "revenge". "Revenge" ya nini? hapo kuna strategy ya kuhakikisha kama kuna "infiltrators" wajulikane haraka na washughulikiwe haraka sana. Nadhani umesahau kuwa huko ujambazi umezidi. Ulitaka Serikali ikae kimya siku zote?

Kagame hawezi kuwasaidia watu wake mpaka wang'ang'anie huku kwetu? Hebu peleka kundi la Watanzania Rwanda kama Wanyarwanda waliopo kiharamu Tanzania halafu uone kitachowakuta.
 
Kinachokuaminisha kuwa wanyarwanda 20000 ni hatari kuliko wachina 100 ni kipi?
Punguza kuandika magazeti...toa hoja!
 
Sawa sawa kabisa, je umejibu hoja?
Hoja yako ni ipi?

Wanyarwanda 20,000 watakapozaliana na kufikia 200,000 watatoa hoja ya kijetenga kwa Kagera kama ambavyo wanafanya DRC. Wachina 100 hawawezi kudai sehemu ya Tanzania au kuanzisha balaa la vita kama ya DRC na wala kuungwa mkono na Jimping kama ambavyo Kagame ameshiriki kuunga mkono wauaji wa DRC.
Kama ambavyo mikono ya Kagame imejaa damu za watu milioni 3

Wanyarwanda 20,000 wanaweza kupewa silaha na na Kagema kuua Wanyambo, wahaya na wahangaza ili walete mifugo yao kwa msaada wa stupid Kagame.

Mwisho, huna sababu za kusoma gazeti una haki kabisa ya kuacha kusoma. Midhali unauliza na unasoma gazeti basi linafaida kwako vinginevyo usisome. Acha jukwaa lifanye kazi yake kama huna muda ni juu yako.

Hivi kati ya wanyarwanda na wachina nani wanasifika kwa kuzaliana?kwa hiyo wachina 100 hawawezi kuzaliana?
Kwa hiyo wachina 100 hawawezi kutengeneza mabomu na kutushambulia?

Nashukuru umeanza kupunguza gazeti.
 
Nahsukuru unasoma gazeti na kulielewa. Mfikishie salama Kagme kuwa yeye ndiye hangaiko na mateso ya Wanyarwanda.
 
Katika mjadala huu kuna hoja zinajirudia pengine kukwepa ukweli au kujenga hali fulani ya huruma kwa kufumbia macho baadhi ya ukweli.Nitazirejea kwa ujumla.

1. Mkuu Jasusi, mazingira aliyoishi Nyerere ni tofauti na sasa. 9/11 ilibadili mazingira ya dunia na kupelekea hata kukiuka misingi ya haki za binadamu. Leo ukiwa Marekani unapitishwa katika mashine za X ray kukaguliwa. George Washington au FDR wangeyaona wangeshtuka kama ambavyo Nyerere asingependa kuona yaliyotokea. Hata hivyo wote wangekubaliana kuwa mazingira yamebadilika,wapo akina Kagame siyo Bokasa au Hitler, wanotishia kuua viogozi wenzao mithili ya akina Musolin na Idd Amin

Nyerere asingevumilia kuona raia wake wakiondolewa katika ardhi Kagera ili kupisha Wanyarwanda kwasababu tu Watanzania hatupo hivyo na lazima tuone aibu. Kwanini tuone aibu kumuondoa mhalifu tusione aibu raia wa Kagera anapobeba virago kukimbia nyumbani kwao na kuhamia Nyarugusu na Tabora?

Kuhusu Wasomali, Wahindi na Wapakistan kuwepo nchini, hilo ni tatizo la utawala.
Hakuna nchi duniani ikiwemo ambayo haina wahamiaji haramu.
Tofauti ni jinsi gani wahamiaji hao wanavyoweza kuleta madhara.

Wachina 100 Dar hawana impact ya usalama kama Wanyarwanda 20,000.
Hivyo jinsi gani unahangaika na makundi haya inategemea factors nyingi na si uhamiaji haramu tu.

DRC walikuwa na huruma kama ya mkuu Jasusi , kutotaka kuwaudhi waafrika wenzetu.
Matokeo yake ni Wanyarwanda kudai Kivu kama nchi. Sijui tunataka hilo litokee Kagera. Wahamiaji haram 20,000 katika sehemu moja ni hatari isyoyoweza kufumbiwa macho kwa usalama.

Kuhusu Wasomali, Tanzania imetoa mkoa wa Tanga, Handeni kwa ajili yao. Ikumbukwe Wasomali asili yao ni Handeni na kwa msingi huo Tanzania ikasema hawa ni wetu, na Kagame anapaswa kufanya hivyo bila kulalamika. Lakini pia inaonyesha jinsi gani tulivyo wakarimu

Ogah Kama kuna kilio cha siku nyingi cha mikoaa ya magharibi ni usalama. Kila mtu anajua kuwa ujambazi uliambatana na ukimbizi hata UN waliambiwa na Mkapa.

Mkapa alisema bajeti ya Wakimbizi wa Rwanda ni zaidi ya bajeti ya elimu achilia mbali gharama za ulinzi na usalama. Kwa mtu aliyewahi kusafiri kuelekea mikoa ya Kagera anajua hilo. Vipi leo tuonekane wahalifu kuondoa wahalifu na si kuhifadhi watu milioni 2 tena kwa gharama yetu huku Kagame akiwa porini anawamwagia risasi?

Tulipopokea wakimbizi milioni hatukuonekana wakarimu, leo tunaondoa wahalifu 20,000 tunaonekana hatuna ukarimu. Tuliporudisha wakimbizi kwa amani kwao hatukuonekana wakarimu, leo Kagame aliyewatandika na kukata vichwa vya Wanyarwanda anaonekana mwanadiplomasia kwa kupokea mabaki ya uhalifu wake.

Tulifiwa na jamaa Kigoma na ilibidi asafirishwe. Tatizo halikuwa kupata usafir, tatizo lilikuwa kumuomba RPC atoe kikosi cha askari 7 wenye zana za kivita ili tuweze kusafiri ndani ya nchi yetu na marehemu.
Sijui hili linasemwaje na wale wanaosema hawa ni ndugu zetu na waafrika wenzetu.

Kama picha inavyoonekana ya mama akiwa na watoto wakirudi Rwanda ndio adha tulityopata ya marehemu kuanza kuharibika kwasababu tu hatuwezi kusafiri katika nchi yetu kwa huruma za ubinadamu kwa Wanyarwanda ambao hawana huruma na sisi.

Richard Wahamiaji haramu wapo kama nilivyosema lakini wahindi 3 siyo tishio la usalama kama kundi la 20,000 ambao Kagame anaweza kuwapa silaha waendelee na mauji.

Ni Kagame ametoa silaha kwa Wanyarwanda DRC na sasa wananchi milioni 3 wa DRC wameuawa, wamebakwa wengine kukimbia makwao kama walivyokimbia Wanyambo, wahaya na wahangaza wa Kagera, DRC inatakiwa igawanywe ili iwe Kivu kuendeleza eneo la utawala la Kagame.

Kuhusu matumizi ya silaha niliyosema, Richard mhamiaji haramu amekuja kwa njia haramu bila ku-declare amekuja na nini. Tunachojua wanakuja na magrenade ili kuua Watanzania wa Kagera kwa minajili ya kutwaa ardhi ya mifugo yao.

Kwamba mifugo yao ni muhimu sana kuliko raia wa nchi yetu. Kama hatutaweza kufikiria hilo basi tuna tatizo kubwa sana zaidi ya uhamiaji haramu.

Kwa ujumla, hoja ya kuwarudisha Wanyarwanda inaambatana na usalama wa taifa, haki za wananchi wa Kagera kuishi kwa amani kama katiba inavyosema na tartibu za kimatifa.

Sikubaliana na hoja ya huruma kwa waliohamia kwa njia haramu huku nikifumba macho kwa akina mama na watoto wa Kagera wakigeuzwa kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao.

Mwananchi wa Kagera analindwa na katiba ya JMT ambayo haimtambui Mhamiaji haramu kutoka Rwanda au kwingine isipokuwa kwa kipengele kimoja tu, kwamba ni mhalifu aliyevunja sheria na anastahili adhabu kali sana wala si kuombwa aondoke.

Ninashangaa kwanini Tanzania ionekane imefanya jambo la ajabu wakati Kenya na Uganda walipigana kwa ajili ya KM 1 ya migingo. Kwamba watu 500 walitaka kuleta balaa kubwa sana na sisi wenye 20,000 tunaonekana tuna haki ya kuwahifadhi.

JokaKuu ameeleza kuwa hili zoezi limekuwa linafanyika mara kwa mara. Hebu fikiria kama Tanzania iliomba UN wakimbizi warudishwe na UN ikakubali na kusaidia, hivi huruma ya wahamiaji haramu ambao ni wauaji kwa tabia zao inatoka wapi?

Hivi ni kwanini tuingie gharama kwa bajeti kubwa badala ya kuwaondoa uhamiaji kila mahali ili atakaye kuja Tanzania aje tu. Kwanini tusifute sheria hiyo katika vitabu vyetu kwasababu huo siyo utanzania na kwamba Mnigeria, Mmalawai, Mghana aje tu kwa vile ni mwafrika mwenzetu na sisi ni wema sana.

Nguruvi3,

Good analysis...
 
Last edited by a moderator:
hata wa-congo mtajiita watanzania kwa kuwa JK yuko nanyi kwa sasa.
Hakuna tatizo ili mradi tu tuheshimu sheria za nchi. Wanyarwanda wapo Tanzania na balozi wao yupo hapa wala hana tatizo.
Mfikishie salam Kagame umwambie Tanzania si DRC na Kagera haiwezi kuwa Kivu.
 
Nahsukuru unasoma gazeti na kulielewa. Mfikishie salama Kagme kuwa yeye ndiye hangaiko na mateso ya Wanyarwanda.
Naona unaleta vioja sasa!
Unadhani utaitwa mzalendo kwa kutetea maamuzi ya kijinga?
 
just call as it is,hakuna issue ya uhamiaji haramu hapo ni revenge tuu za JK kwa maneno ya kagame something which is very wrong,furahia wewe leo lakini the same politics zinazotumika to punish one group usilalmike kesho zikitumika kwako...waulize Germany na NAZI labda utajifunZa kitu.
Hizo ni fikra zako sijui mnataka rais wetu hawafanyie nini ndiyo muone kafanya vizuri.

Rais Kikwete, akikaa kimya mnamuita dhaifu akifanya action mnalalamika.

Ukitaka kujua ubaya wa hao wakimbizi haramu walize wakazi wa Kagera, Bihalamulo, Benako, Ngara, Geita, Rusumo, uhalifu ulivyokuwa mkubwa.

Kwenye huu mgogoro lawama zenu zote zinakwenda kwa Kikwete hakuna hata mmoja anamlaumu Kagame, ambaye ndiyo kaleta tabu yote.
 
Naona unaleta vioja sasa!
Unadhani utaitwa mzalendo kwa kutetea maamuzi ya kijinga?
Ni maamuzi ya kijinga kwa Wanyarwanda kama wewe na Kagame.

Ni maamuzi ya busara na maana sana kwa Watanzania kama mimi, kwa wananchi wa Kagera walionyimwa haki yao ya kikatiba ya kulindwa kama raia wengine na ni maamuzi ya maana sana kwa Wanyarwanda kuthamini kama PK anawapeleka wanakokusidia.

Ni maamuzi ya maana kwa Wanyarwanda kufikiri kama kagame anayetaka EAC ihame kutoka Arusha ni muhimu sana kuliko kufikiri uhamaji wa raia na mali zao ndani ya EAC.

Ni uamuzi wa maana sana wa kufahamisha Wanyarwanda kuwa adui wao ni Kagame si Tanzania.
 
Ni maamuzi ya kijinga...!

Kwakuwa ni maamuzi ya kisasi

Kwa kuwa hayakupangiliwa

Kwa kuwa ni ya kibaguzi

Kwa kuwa sio endelevu

Kwa kuwa hayana tija kiuchumi,kijamii au kisiasa
 
Ni maamuzi ya kisiasa kwasababu siasa intawala maisha yako. Kama Kgame alivyotukana hakuhitaji ushauri wa Daktari au Engineer. Haya ni maamuzi ya utawala unaowekwa kwa njia za siasa. FYI kurudisha wahamiaji haramu ni agenda katika kampeni za Marekani na kwingineko, je si maamuzi ya kisiasa?
Hivi unahitaji mtaalam wa madini, daktari au Engineer kuamua kuwa mhamiaji haramu aburuzwe kwenda kwao.

Maamuzi yamepangiliwa ndio maana hakuna Mtanzania anayepelekwa Rwanda kwa bahati mbaya, na kuwa wamezingirwa na wanvuka mpaka wenyewe. Bila mpangilio huwezi kukabaliana na M23 Tanzania branch ya Kagame

Hakuna ubaguzi wa kumshughulikia mhalifu. Serikali ya Tanzania haihitaji ridhaa ya Kagame katika kutekeleza majukumu yake.

Ni endelevu kwasababu wakirudi itatufutwa mbinu nyingine. Kwa kiasi fulani nakubaliana nawe kwasababu walipaswa wafikishwe mahakamani waadhibiwe, wakimaliza adhabu zao warudi kwa Kagame kwa amani.

Revenge za nini kwa hawa watu maskini kabisa ambao wanatakiwa kusaidiwa tuu,hawana hata viatu na hata mabegi yao ni magunia ya ya kubebea viazi shambani,kama mna shida na kagame deal naye sio kutafuta wanyonge kama hawa na mbuzi zao kulipiza visasi kwa jina la uhamiaji haramu
Kama hawa si wahamiaji haramu, wapo kundi gani? I mean tuwaiteje?

Pili, huyu masikini aiyebeba gunia na SMG ni masikini wa kuonewa huruma huyu.
Kwanini msionee huruma watu wa Kagera wanaoteswa na hawa masikini.
Kwamba masikini wa Kagera ni dhalili zaidi ya masikini mhamiaji haramu wa Kinyarwanda?
 
Hapo hakuna "revenge". "Revenge" ya nini? hapo kuna strategy ya kuhakikisha kama kuna "infiltrators" wajulikane haraka na washughulikiwe haraka sana. Nadhani umesahau kuwa huko ujambazi umezidi. Ulitaka Serikali ikae kimya siku zote?

Kagame hawezi kuwasaidia watu wake mpaka wang'ang'anie huku kwetu? Hebu peleka kundi la Watanzania Rwanda kama Wanyarwanda waliopo kiharamu Tanzania halafu uone kitachowakuta.
Haya maneno ya revenge ni ukosefu wa hoja za utetezi. Wamejaribu kuonyesha kuwa Tanzania inafukuza Wanyarwanda tukawaambia hapana kuna Wanyarwanda wanaoishi kihalali na hawajafukuzwa akiwemo balozi wa Rwanda.

Pili, hakuna Wakimbizi wa Rwanda na kama ni wakimbizi waliishi nje ya utaratibu wa wakimbizi.
Tukaawaambia hawa ni wahamiaji haramu.

Sasa wanasema revenge. Tunasema hivi sheria za nchi kuhusu uhamiaji zipo wazi. Mhamiaji haramu ni mhalifu tu. Hapa sikubaliani na JK kwasababu hakupaswa kuwaambia waondoke , sheria za nchi zilipaswa kufuatwa kwa kuwafikisha mahakamani kama WaethiOpia na Wasomali wanavyofanyiwa.

Huu ndio ubaguzi wa JK kwamba Wasomali na Waethiopia wanafikishwa mahakamani, Wanyarwanda wanaambiwa waondoke tena baada ya kufanya uhalifu na mauji Mikoa ya magharibi.

Kagame alipokuja na hoja ya kuhamisha makao makuu ya EAC kwenda Nairobi Tanzania haikusema ana revenge. Leo Tanzania kutumia sheria za nchi kukabiliana na wahalifu hawa inaonekana revenge.

No way tafuteni utetezi mwingine, hata Kagame amekosa japo mmoja.
 
Back
Top Bottom