Sasa hapo shida nini?
Kwa umri huo ulitaka uulizwe mumeo hajambo au?
sio wivu ila ni swali ambalo silipendi maana kila akinipigia lazima aniulize ilo swali naona kama lipo personal sanaacha kuwaza negative.. au ndio unahisi mshukaji ana wivu ? 😎
yah ni mtu mnoko mnoko wa kufuatilia issues za watuInaonekana hamna jambo la maana la kuongea kwa hiyo anatafuta unoko tu
Kuna watu wanapenda sana udaku, labda ni mmoja wao
Labda anataka umwambie
Basi bwana tulienda kula sehemu akaiba glass 😜 😂😂( just kidding)
Kama anauliza mara kwa mara basi hilo ni swali la kiwaki, ila kama ni hamjawasiliana kwa kitambo kidogo basi kapunguza ukali wa kuuliza "umeoa??"sio wivu ila ni swali ambalo silipendi maana kila akinipigia lazima aniulize ilo swali naona kama lipo personal sana
ni mara kwa mara mzee na nishawahi kumwambia sijaoa mwezi wa 3/2025 ila ameendelea kuuliza ilo swaliKama anauliza mara kwa mara basi hilo ni swali la kiwaki, ila kama ni hamjawasiliana kwa kitambo kidogo basi kapunguza ukali wa kuuliza "umeoa??"
Mi mazoea ya kijinga tuIvi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote 0level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji ajambo? na hafahamu na sijawahi kumwambia kama nimeoa na wala demu wangu hamfahamu maana ni miaka hatujaonana
Swali kama ilo naona la kiwaki balaa ,au kwa upande wenu wadau swali kama ilo uwa mnalichukuliaje?
Hili naloo neno.Sasa hapo shida nini?
Kwa umri huo ulitaka uulizwe mumeo hajambo au?
Mwambie ukweli hupendi hilo swali..sio wivu ila ni swali ambalo silipendi maana kila akinipigia lazima aniulize ilo swali naona kama lipo personal sana
mchape blocksio wivu ila ni swali ambalo silipendi maana kila akinipigia lazima aniulize ilo swali naona kama lipo personal sana