Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?
Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?
The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Aikaeli kwenye huu uzi anahusika vipi tena mkuu! Au Mataga bado mnateseka?Leo mbona umeandika kidogo nasomaga sana nyuzi zako bro kichwa yako naiaminia.
Wapelekee moto watoto wadogo wa ufipani pale kwa aikaeli na chama chake cha kishimundu.
Hana ubavu huo...moyo wake wote na akili zake zote alijitoa kwa Jiwe la Chato!Mzee Mwanakijiji hata wewe umeamua kuwakimbia wapiga mapambio na waimba ngonjera za kusifu na kuabudu?!
Anyway; nikuhakikishie tu kuwa in the next 4 to 5 days unachokitaka kitakuwa... Kaa kwa kutulia ngoja tuendelee kuwapelekea moto!
Ndiyo sababu mawaziri wengi hawamtii mama, ni vile hawajaapa kwake.... atapiga mikwara kila siku lakini ukweli ni huo.
Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?
Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?
The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Una ushahidi?Ndiyo sababu mawaziri wengi hawamtii mama, ni vile hawajaapa kwake.... atapiga mikwara kila siku lakini ukweli ni huo.
Na wewe unaibu wa habari na michezo ilikuwaje? πππππππMkuu swali tegeshi ni zuri ila nina inani kuwa Mh.Rais Samia aliona kuvunja Baraza na kuliteuwa hilohilo ni kupoteza muda.Kuna kila kiashiria walishirikiana na Hayati JPM kulisuka
Dkt inabidi amshukuru Mungu tu. Bora awe single kuliko kukaa kwenye maigizoMwanakijiji acha ushamba.. Msalimie dokta Slaa rafiki yako.. Nasikia Kaachika na mke wake anaishi Canada Richmond Hill.. Abishe