Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Itakuaa josephine kapata mbeba boxMwanakijiji acha ushamba.. Msalimie dokta Slaa rafiki yako.. Nasikia Kaachika na mke wake anaishi Canada Richmond Hill.. Abishe
Itakuaa josephine kapata mbeba boxMwanakijiji acha ushamba.. Msalimie dokta Slaa rafiki yako.. Nasikia Kaachika na mke wake anaishi Canada Richmond Hill.. Abishe
Nimesoma mahali kuwa hii ID yako ndo yule DC Iringa[emoji848]Mimi na magufuli ni kitu kimoja (in magufuli voices)
Watamsumbua kawa hiyo unataka uteuliwe wewe na sio mbunge?
Bunge zima ni nguvu ya JPM kwa hiyo unayemtaka atashuka kutoka kwa wapiga debe na wapiga miluzi potoshi?
Itakuaa josephine kapata mbeba box
Utamaduni wa kuvunja katiba kwa makusudi aliusnzisha mwendazake na nyie wapambe wake mliuita uthubutu eti.Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?
Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?
The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Katiba ya Marekani inasemaje juu ya hili ?Kamanda hata Ford alipoingia madarakani baada ya Nickson kujiuzulu aliendelea na nawaziri walewale angaliaView attachment 1764940View attachment 1764941
Mzee hatuamshi jukwaa la lugha wadau tupoItokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?
Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?
The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Kwani katiba ya Tanzania ni parimatiria na katiba ya USA?Mkuu nimejaribu kuangalia Cabinet ya Nickson na Ford hazitofautiani sana hususani sera za fedha na mambo ya nje aliwaacha mawaziri walewale wa mtangulizi wake nijuavyo mara nyingi serikali za marekani hutofautishwa na sera ya mambo ya nje,usalama na fedhaView attachment 1764951View attachment 1764952View attachment 1764953View attachment 1764954
Katiba ya Marekani inasemaje juu ya hili ?
Inafikirisha sana, kwa nini iko silent eneo hili. Kwa hakika Katiba inatakiwa kuboreshwa.Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?
Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?
The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Mimi sizungumzii utamaduni nazungumzia katiba ya nchiUtamaduni sio lazima kuondoa Baraza la mawaziri
Baraza lilitakiwa livunjwe kwa maslahi mapana ya utii na heshima kwa Rais mpya.
Watamsumbua sana kuelekea urais 2025.
Kitu chochote kama hujakitumia ipasavyo hutajua kama kina matundu, viraka au madoa hivyo msingi umewekwa na tathimini mtaifanya wapi pa kuboresha.Tukubaliane utawala wa Magufuli hadi kifo chake umeonyesha matundu makubwa Sana kwenye Katiba ya nchi yetu na CCM binafsi.
Nahisi huko mbeleni tunaweza kushuhudia viraka vikubwa Sana kwenye Katiba yetu, maana kubadili Katiba CCM hawako tayari.
Hawa ndio hayati aliwaona vichwa mpaka akawateuwa...View attachment 1764967Tunaomba majibu hiki kinywaji kilienda wapi !?
Na hiyo Safari ya Antananarivo ilikua na mafanikio gani kwa ATCL
Au nayo iliongezea hasara kwenye billioni 60?