Swali Tegeshi: Ikitokea Hivi, Itaendelea kuwa Vile?

The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, kama unataka kusema kuwa President Samia has categorically and emphatically stated her presidential term with the worst constitutional blunder in our history, wewe sema tuu, kwani tatizo ni nini, suppose yote usemayo yakatokea kama ulivyodhani, jee kuna tatizo gani?.
P
 
Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?

Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?

The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Tunaweza kupata Rais Kibajaji kwa scenario hiyo.
 
Baraza lilitakiwa livunjwe kwa maslahi mapana ya utii na heshima kwa Rais mpya.

Watamsumbua sana kuelekea urais 2025.
Watamsumbua kawa hiyo unataka uteuliwe wewe na sio mbunge?

Bunge zima ni nguvu ya JPM kwa hiyo unayemtaka atashuka kutoka kwa wapiga debe na wapiga miluzi potoshi?
 
Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?

Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?

The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Ingekuwa ni jambo jema ukatuwekea ibara ya katiba ya JMT ambayo inatanabaisha kuwa ni mandatory kuvunja baraza la mawaziri pale makamu wa rais wa JMT anapokuwa rais. Kuliko kuanza kudai kuwa ni uvunjifu mkubwa wa katiba ya JMT.
 
Ingekuwa ni jambo jema ukatuwekea ibara ya katiba ya JMT ambayo inatanabaisha kuwa ni mandatory kuvunja baraza la mawaziri pale makamu wa raisa wa JMT anapokuwa rais. Kuliko kuanza kudai kuwa ni uvunjifu mkubwa wa katiba ya JMT.
Hawezi kurejea maana hakuna rejea hiyo iwe kwa tukio kama hilo lililowahi kutokea na utaratibu unaoudai ukafanyika au katiba yenyewe labda ya vichochoroni.

Kama hujawaelewa hawa watu ni kwamba mawaziri waliopo wanauelewa mkubwa ndio maana inapotokea changamoto ya hii miluzi wanamshauri mh Rais. Lakini endapo akiweka wapya wote ukijumuisha na wale walioibuka hivi karibuni lakini hawamo kwenye baraza ijapokuwa walishawahi kuwemo wakatolewa wanaouwezo wakufanikisha kumchanganya kwa miluzi mingi kisha reli ikihama kwenye njia yake wanaanza kumcheka tena.

Usichezee wenye fitina na unzandiki utatamani kumezwa na dunia kutoshuhudia aibu unayolengeshwa
 
Kuna mifano hai ya nchi iliyowahi kupitia kama hichi kisha Rais mpya akavunja baraza la mawaziri?

Najua tu marais waliovunja bunge na kujitangaza marais wa maisha.
Katiba zinatofautiana kila nchi
 
Kipimo chako ni Rais kusikiliza wahuni?
Ninampima Rais Samia kwa mambo matatu:
-Maamuzi magumu juu ya kilichogunduliwa BOT.
-Kuunda baraza lake la mawaziri.
-Kuvunja bunge kwa maslahi mapana ya taifa.
-Kuisafisha system na ccm na kurudisha watu waadilifu wenye hekima katika instistutions hizo.
-Awe msikivu kwa vilio vikuu vya muda mrefu vya wananchi,kama vile ajira kwa vijana,Katiba,demokrasia n.k

Haya ni mambo lazima ayafanyie maamuzi magumu na asipofanya basi Mungu na sisi waombaji tutamsaidia ila ajiandae kwa mambo magumu.
Nchi hii sasa lazima ibadilike,iwe,isiwe,wether you are with us or not.
Niliongea kuhusu Magu,sasa naongea kuhusu Samia.
Lazima afanye hayo,ni mambo hayakwepeki,ni sawa na kukanyaga moto,upende usipende maamuzi ni kunyanyua mguu.Nchi inahitaji hayo ili isonge mbele.
Mambo yote ya maendeleo anayozungumza hataweza kuyatimiza na timu isiyomuamini na kumuona kiongozi wao stahili.
Rais aweke uzanzibari kando,awe mkali na maamuzi magumu lakini sahihi,kwa wakati sahihi, na nadhani wakati sahihi ni sasa.
Asiruhusu kuyumbishwa hata kidogo,na asiendekeze uccm,sababu kuna watu ndani ya hicho chama chake ndio tatizo kuu kwa taifa hili.Akiweka uchama mbele zaidi ya utanzania wake,ataleta shida kubwa miaka hii mitano na Mungu atamuadhibu.
Nisameheni kwa lugha kali,nazungumzia Rais wa nchi,hakuna utani na cheo hiki.
 
Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?

Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?

The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Hatutaki ramli chonganishi tafadhali,mawazo hayo Mwenyezi Mungu ayaepushie mbali,Tunakwenda na Mama Hadi mwisho wa safari.
 
Ninampima Rais Samia kwa mambo matatu:
-Maamuzi magumu juu ya kilichogunduliwa BOT.
-Kuunda baraza lake la mawaziri.
-Kuvunja bunge kwa maslahi mapana ya taifa.
-Kuisafisha system na ccm na kurudisha watu waadilifu wenye hekima katika instistutions hizo.
-Awe msikivu kwa vilio vikuu vya muda mrefu vya wananchi,kama vile ajira kwa vijana,Katiba,demokrasia n.k

Haya ni mambo lazima ayafanyie maamuzi magumu na asipofanya basi Mungu na sisi waombaji tutamsaidia ila ajiandae kwa mambo magumu.
Nchi hii sasa lazima ibadilike,iwe,isiwe,wether you are with us or not.
Niliongea kuhusu Magu,sasa naongea kuhusu Samia.
Lazima afanye hayo,ni mambo hayakwepeki,ni sawa na kukanyaga moto,upende usipende maamuzi ni kunyanyua mguu.Nchi inahitaji hayo ili isonge mbele.
Mambo yote ya maendeleo anayozungumza hataweza kuyatimiza na timu isiyomuamini na kumuona kiongozi wao stahili.
Rais aweke uzanzibari kando,awe mkali na maamuzi magumu lakini sahihi,kwa wakati sahihi, na nadhani wakati sahihi ni sasa.
Asiruhusu kuyumbishwa hata kidogo,na asiendekeze uccm,sababu kuna watu ndani ya hicho chama chake ndio tatizo kuu kwa taifa hili.Akiweka uchama mbele zaidi ya utanzania wake,ataleta shida kubwa miaka hii mitano na Mungu atamuadhibu.
Nisameheni kwa lugha kali,nazungumzia Rais wa nchi,hakuna utani na cheo hiki.
Wakati wa hayati JPM mlianza kutumia jukwaa hili kutanguliza ubwekaji kama kawaida, watu wakafikiri hao wamezoeleka kumbe mlikuwa mkitafuna kama kansa.

Lugha hizi zisipuuzwe mwisho wa siku zitaumba ubaya usiohitajika
 
Rais ni nani ?
Je ukiapa kwa Rais ambaye haupo ,hutotunza siri za baraza kisa RAIS and uliyeapa mbele amekufa ?
Je Rais uliyeapa mbele yake yale maneno unayotamka unaapa kwa jina lake au unaapa kwa cheo chake?
Waziri na wateule wengine wanaapa kwa mjibu wa katiba ,unataka kusema akija Rais mwingine atabadili wateule wote kwa sababu hawakuapa mbele yake.?
Rais Mwenyewe alisema huo sio uchaguzi mpya amepokea kijiti kwa kuwa katiba iko wazi na katiba hiyo hiyo haijamwambia lazima abadili au alivunje baraza la mawaziri.
 
Back
Top Bottom