Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Mkuu Mzee Mwanakijiji, kama unataka kusema kuwa President Samia has categorically and emphatically stated her presidential term with the worst constitutional blunder in our history, wewe sema tuu, kwani tatizo ni nini, suppose yote usemayo yakatokea kama ulivyodhani, jee kuna tatizo gani?.The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Tunaweza kupata Rais Kibajaji kwa scenario hiyo.Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?
Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?
The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Watamsumbua kawa hiyo unataka uteuliwe wewe na sio mbunge?Baraza lilitakiwa livunjwe kwa maslahi mapana ya utii na heshima kwa Rais mpya.
Watamsumbua sana kuelekea urais 2025.
Mkuu Paschal usimtegeshee Mwanakijiji muunge mkono moja kwa moja ili hoja ipate upeo msiganoMkuu Mzee Mwanakijiji, sema tuu
Baraza lilitakiwa livunjwe kwa maslahi mapana ya utii na heshima kwa Rais mpya.
Watamsumbua sana kuelekea urais 2025.
Mlitoa sifa lukuki lakini kabla jogoo hajawika kibao kimeanuliwa na kuwekewa maandishi ya kinyume nyume kama kawaida!!!Mama Samia kachemka sana katika hili.
Ingekuwa ni jambo jema ukatuwekea ibara ya katiba ya JMT ambayo inatanabaisha kuwa ni mandatory kuvunja baraza la mawaziri pale makamu wa rais wa JMT anapokuwa rais. Kuliko kuanza kudai kuwa ni uvunjifu mkubwa wa katiba ya JMT.Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?
Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?
The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Hawezi kurejea maana hakuna rejea hiyo iwe kwa tukio kama hilo lililowahi kutokea na utaratibu unaoudai ukafanyika au katiba yenyewe labda ya vichochoroni.Ingekuwa ni jambo jema ukatuwekea ibara ya katiba ya JMT ambayo inatanabaisha kuwa ni mandatory kuvunja baraza la mawaziri pale makamu wa raisa wa JMT anapokuwa rais. Kuliko kuanza kudai kuwa ni uvunjifu mkubwa wa katiba ya JMT.
Weee weka matako chini!Mama Samia kachemka sana katika hili.
Katiba zinatofautiana kila nchiKuna mifano hai ya nchi iliyowahi kupitia kama hichi kisha Rais mpya akavunja baraza la mawaziri?
Najua tu marais waliovunja bunge na kujitangaza marais wa maisha.
Ninampima Rais Samia kwa mambo matatu:
-Maamuzi magumu juu ya kilichogunduliwa BOT.
-Kuunda baraza lake la mawaziri.
-Kuvunja bunge kwa maslahi mapana ya taifa.
-Kuisafisha system na ccm na kurudisha watu waadilifu wenye hekima katika instistutions hizo.
-Awe msikivu kwa vilio vikuu vya muda mrefu vya wananchi,kama vile ajira kwa vijana,Katiba,demokrasia n.k
Haya ni mambo lazima ayafanyie maamuzi magumu na asipofanya basi Mungu na sisi waombaji tutamsaidia ila ajiandae kwa mambo magumu.
Nchi hii sasa lazima ibadilike,iwe,isiwe,wether you are with us or not.
Niliongea kuhusu Magu,sasa naongea kuhusu Samia.
Lazima afanye hayo,ni mambo hayakwepeki,ni sawa na kukanyaga moto,upende usipende maamuzi ni kunyanyua mguu.Nchi inahitaji hayo ili isonge mbele.
Mambo yote ya maendeleo anayozungumza hataweza kuyatimiza na timu isiyomuamini na kumuona kiongozi wao stahili.
Rais aweke uzanzibari kando,awe mkali na maamuzi magumu lakini sahihi,kwa wakati sahihi, na nadhani wakati sahihi ni sasa.
Asiruhusu kuyumbishwa hata kidogo,na asiendekeze uccm,sababu kuna watu ndani ya hicho chama chake ndio tatizo kuu kwa taifa hili.Akiweka uchama mbele zaidi ya utanzania wake,ataleta shida kubwa miaka hii mitano na Mungu atamuadhibu.
Nisameheni kwa lugha kali,nazungumzia Rais wa nchi,hakuna utani na cheo hiki.
Hatutaki ramli chonganishi tafadhali,mawazo hayo Mwenyezi Mungu ayaepushie mbali,Tunakwenda na Mama Hadi mwisho wa safari.Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?
Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?
The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.
Ma.m.aeMwanakijiji acha ushamba.. Msalimie dokta Slaa rafiki yako.. Nasikia Kaachika na mke wake anaishi Canada Richmond Hill.. Abishe
Wakati wa hayati JPM mlianza kutumia jukwaa hili kutanguliza ubwekaji kama kawaida, watu wakafikiri hao wamezoeleka kumbe mlikuwa mkitafuna kama kansa.Ninampima Rais Samia kwa mambo matatu: