Swali Tegeshi: Ikitokea Hivi, Itaendelea kuwa Vile?

Watamsumbua kawa hiyo unataka uteuliwe wewe na sio mbunge?

Bunge zima ni nguvu ya JPM kwa hiyo unayemtaka atashuka kutoka kwa wapiga debe na wapiga miluzi potoshi?

Hayo ndio madhara ya Magufuli kunajisi uchaguzi, inafikia mahali hata kiongozi hawezi kuchagua mawaziri, maana wote walikuwa na mapandikizi ya jizi kuu la kura.
 
Tukubaliane utawala wa Magufuli hadi kifo chake umeonyesha matundu makubwa Sana kwenye Katiba ya nchi yetu na CCM binafsi.

Nahisi huko mbeleni tunaweza kushuhudia viraka vikubwa Sana kwenye Katiba yetu, maana kubadili Katiba CCM hawako tayari.
 
Utamaduni wa kuvunja katiba kwa makusudi aliusnzisha mwendazake na nyie wapambe wake mliuita uthubutu eti.

Wapambe ni watu wa hovyo sana
 
Mzee hatuamshi jukwaa la lugha wadau tupo
 
Inafikirisha sana, kwa nini iko silent eneo hili. Kwa hakika Katiba inatakiwa kuboreshwa.
 
I partially agree with you..and either of the following is true
1.Anasubir apate nguvu CCM(Chairmanship) aweze ku take total power and control
2.Alihitaji kuungwa mkono na bunge kabla ya kuanza mchakato wa kuwafyeka mawaziri asiowahitaji
3. The party's options are exhausted.. na waliobaki hawahitaji
4.@ Wakudadavua ameongea vizur kwamba pengine alishiriki kwenye kuliunda hivyo kulifuta ni kupoteza muda.
5.Hayo mengine ni possible, lakini very rare to happen...chance #0
 
If she is smart she’ll do it in 2022 to get rid of those who are still trying get rid of her for 2025 election.
Baraza lilitakiwa livunjwe kwa maslahi mapana ya utii na heshima kwa Rais mpya.

Watamsumbua sana kuelekea urais 2025.
 
Tukubaliane utawala wa Magufuli hadi kifo chake umeonyesha matundu makubwa Sana kwenye Katiba ya nchi yetu na CCM binafsi.

Nahisi huko mbeleni tunaweza kushuhudia viraka vikubwa Sana kwenye Katiba yetu, maana kubadili Katiba CCM hawako tayari.
Kitu chochote kama hujakitumia ipasavyo hutajua kama kina matundu, viraka au madoa hivyo msingi umewekwa na tathimini mtaifanya wapi pa kuboresha.

TAL katika harakati zake ama za kisheria au kisiasa huhakikisha kila kilichoandikwa kwenye katiba, sheria, miongozo nk anakifanyia majaribio ndio maana alikuwa na kesi nyingi za uchochezi sio kwa bahati mbaya ila alikuwa ana 'test' 'effectiveness' ya sheria na katiba kwa upande wa 'executive' watafanya nini.

Hivyo ndivyo ilivyo, kuna vifungu vingi mno vya katiba na sheria ambavyo bado havijafanyiwa majario kuona kama vinafanya kazi, lakini vipo hai mpaka itokee tukio ndio watu wanaanza kujiuliza itakuwaje kumbe majawabu yapo.

Kwa mfano Tanzania ilikuwa haijawahi kufiwa na kiongozi wa juu wa nchi akiwa madarakani lakini katiba na sheria zilishaliona hilo zamani na kuliweka kwenye katiba na sheria.

Tulishawahi kupata majaribio mengine ya waziri mkuu na makamu wa rais kufariki akiwa madarakani, utaratibu wa nini kifanyike ulikwisha kuwekwa.

Je, kwa upande wa BUNGE katiba na sheria inasemeje endapo yaliyotajwa hapo juu yatatokea?

Wenye jibu ni ninyi mnaolumbana rejeani kwenye makabrasha mtaona kilichowekwa hapo ndipo unapojua kwamba utungaji wa katiba na sheria unatakiwa uvae uhusika wa jambo fulani endapo litatokea ni kitu gani kifanyike na kwa utaratibu upi usio na msuguano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…