wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Wakuu, kuna story nyingi positive zinazowahusu waafrika. Kuna nyingine zinadai kua waafrika walikua powerful sana, sikatai, hili tunaweza lithibitisha hata sasa hv kwenye wakati huu. Kua waafrika wanafit kila sehemu kuanzia kwenye michezo hadi ubunifu na uwezo wao mkubwa wa kuhimili magonjwa na dhoruba za maisha.
Kuna story kama za waafrika kuishi misri na kuanzisha ustaarabu na falsafa nyingi zinazotumika mpaka leo. Na nyingine nyiiiiiiiingi ambazo zinaweza kua zimefichwa kwa madhumuni ya kisiasa.
So sio swala la kuhisi kuhusu umuhimu wa waafrika na mambo wanayoendelea kuchangia katika ulimwengu kufanya dunia iwe na furaha na ubunifu mwingi walioufanya waafrika, mfano, umeme( misri), michezo ya marshial arts, ngumi, hip hop culture, military tactics, na mengine meeengi.
Sasa sote tunajua kua mpaka hapa tulipofika kua kuna story ya kutawaliwa ilitupitia, ni kwamba hii story haijaelezewa vizuri au imegeuzwa? Maana tukumbuke katika hiki kizazi hakuna anaejua. kila mtu ufahamu wa historia anaupata shuleni au kwa kusimuliwa. Lakini anyway, tuangalie impact ya sasa, kwa maisha ya sasa inaonesha dhahiri bado tunatawaliwa kwa kiwango kikubwa.
Sasa swali ambalo watoto wa kiafrika wanapenda kuliuliza ambalo liko in very simple logic, kwamba, " kwann waafrika walitawaliwa?"
Majibu ya wazazi wenye uchungu na upendo na afrika huwa yanakua ni ya kuzunguka sana, na mara nyingi sababu zinatofautiana, kivyovyote utakavyomuelezea mtoto au kijana mzalendo kuhusu kwann tulitawaliwa bado haitampa mtoto utulivu, kwa sababu watu wengi hawalijui hili fumbo vizuri.
Kwa kifupi hili ni swali ambalo huwa linakosa majibu yenye maelezo chanya, mara nyingi majibu huwa mepesi kwenye mitazamo hasi kama vile "maafrika yalikua mapumbavu ndo maana yalitawaliwa".
Kwa hiyo basi, mpaka mashuleni mwalimu au mzazi aweze kumuelezea mwanafunzi hilo swali katika mtazamo chanya ndo inaweza kusaidia wanafunzi kua na mtazamo chanya hata wakishika nafasi za madaraka ukubwani. Ila kama hakuna maelezo sahihi ya kumjenga mtoto. Basi tutegemee negativity all day.
Ni hayo tu wakuu, uzi huu ni kwa ajili ya kujenga sio kubomoa.