AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Mpaka ufananishwe naye ina maana kuwa unafanana naye. Na kufananishwa naye siyo lazima mfanane sura, yawezekana wafanana naye hata bodysize na mwendo wa kutembea,.. Kwamba mtu akiwa hata nyuma yako akikuona na namna watembea anadhani ni fulani. Kifupi lazima utakuwa wafanana naye, huwezi fananishwa tu Bure.Hili ni swali la kawaida kabisa.
Wakuu,
Naomba kuuliza, mnivumilie jumamosi ya leo nina maswali ya kuwauliza kwa hio kila ninapouliza nijibiwe.
Umewahi kufananishwa na mtu ambae haufanani nae kabisa?
Yaan kwa mfano upo njiani unatembea mara unashangaa mtu anaitwa kumbe unaitwa wewe ila jina sio lako unapogeuka unakuta jamaa anakwambia aaah nimekufananisha samahani.
Au unatembea hivi unakuta mtu anakukimbilia na kukugusa begani kukuongelesha ila unapogeuka na kumtazama unakuta anakwambia aah nilikufananisha samahani.
Au unakatisha tu hivi mtaani unakuta watoto wanakukimbilia "Baba Baba Baba" wewe usijue kwamba wanakukimbilia wewe ile kukukumbatia kuangaliana nao hivi eeh wanaanza kusema huyu sio "Baba yetu, pole" hao wanaondoka zao.
Hii imewahi kukutokea, umewahi kufananishwa na mtu na kwanini inatokea yaan inakuaje kuaje mpaka watu wanakufananisha na mtu mwingine ambae sio wewe?
Hahaha oya jibu swali basi mkuu
Emu ngoja kwanza mkuu unajua kuna sehemu kuna dogo alining'ang'ania kabisa kwamba mimi ni Baba yake mpaka Mama yake alipotoka kuja kumchukua kwamba huyu sio Baba yako ila mtoto kila nikipita hapo kwao ananiita Baba na ananikimbilia nikichochea mwendo anaanza kusema "Baba Bye" mpaka yule Mama akaamua kuhama maana mtoto kaanza kuchagua Baba mwingine ambae sio Baba yake, hii imekaaje mkuuMpaka ufananishwe naye ina maana kuwa unafanana naye. Na kufananishwa naye siyo lazima mfanane sura, yawezekana wafanana naye hata bodysize na mwendo wa kutembea,.. Kwamba mtu akiwa hata nyuma yako akikuona na namna watembea anadhani ni fulani. Kifupi lazima utakuwa wafanana naye, huwezi fananishwa tu Bure.
Sijaelewa swali lako limelenga kufananaje kivipi mkuu?Kwani ww huwa unajijua unafananaje?
Mistaken Identity ni mbaya sana hasa ukifananishwa na mtu wa matukio.Hili ni swali la kawaida kabisa.
Wakuu,
Naomba kuuliza, mnivumilie jumamosi ya leo nina maswali ya kuwauliza kwa hio kila ninapouliza nijibiwe.
Umewahi kufananishwa na mtu ambae haufanani nae kabisa?
Yaan kwa mfano upo njiani unatembea mara unashangaa mtu anaitwa kumbe unaitwa wewe ila jina sio lako unapogeuka unakuta jamaa anakwambia aaah nimekufananisha samahani.
Au unatembea hivi unakuta mtu anakukimbilia na kukugusa begani kukuongelesha ila unapogeuka na kumtazama unakuta anakwambia aah nilikufananisha samahani.
Au unakatisha tu hivi mtaani unakuta watoto wanakukimbilia "Baba Baba Baba" wewe usijue kwamba wanakukimbilia wewe ile kukukumbatia kuangaliana nao hivi eeh wanaanza kusema huyu sio "Baba yetu, pole" hao wanaondoka zao.
Hii imewahi kukutokea, umewahi kufananishwa na mtu na kwanini inatokea yaan inakuaje kuaje mpaka watu wanakufananisha na mtu mwingine ambae sio wewe?
Duuuh yaan alikuganda kabisa kwamba huyo ni wewe wakati sio wewe na ikawaje sasa?Ndio kariakoo yaani yule dada pamoja na kumuaminishia sio mimi na hilo jina sio langu,pamoja na huo mkoa anapo dai anaishi huyo mtu sijawahi fika kabisa.Alizidi kunilazimisha lazima nitakuwa ni yeye kwani haiwezekani nifanane nae hadi sauti.
Aisee hii sasa ndio mbaya sana unafananishwa na mtu wa matukio wakati sio wewe jambo baya linakukuta weweMistaken Identity ni mbaya sana hasa ukifananishwa na mtu wa matukio.
eg Kwenye Movie ya set it off mdogo wake Jada Pinket alikula Chuma kwasababu alinyoa style kama msela mmoja hivi ambaye alikuwa wanted na polisi.
Hahaha.. Yawezekana ni kweli wafanana na Baba yake au ni mtoto mwenyewe kakukubali tu kutokana na kumwona tu mama mda wote (Mtoto wa single mother) na naturally kamiss tu uwepo wa BabaEmu ngoja kwanza mkuu unajua kuna sehemu kuna dogo alining'ang'ania kabisa kwamba mimi ni Baba yake mpaka Mama yake alipotoka kuja kumchukua kwamba huyu sio Baba yako ila mtoto kila nikipita hapo kwao ananiita Baba na ananikimbilia nikichochea mwendo anaanza kusema "Baba Bye" mpaka yule Mama akaamua kuhama maana mtoto kaanza kuchagua Baba mwingine ambae sio Baba yake, hii imekaaje mkuu
Hiyo ni hatari "USIOMBE KUKUTWA NA BWANA PEPSI."Aisee hii sasa ndio mbaya sana unafananishwa na mtu wa matukio wakati sio wewe jambo baya linakukuta wewe
Hahaha sio poa mkuuHiyo ni hatari "USIOMBE KUKUTWA NA BWANA PEPSI."