Swali; Umewahi kufananishwa na mtu ambaye haufanani nae kabisa?

Swali; Umewahi kufananishwa na mtu ambaye haufanani nae kabisa?

ilishawahi ninitokea siku nyingi tu nikiwa primary class 6,7 hivi, nakumbuka nilikuwa mgeni mtaa mmoja hivi katika pita pita zangu nilisikia sauti ya mwanamke inaita kwa ukali na jina si langu kumbe ni mimi bana, sikutaka ata kugeuka, mara akaninyookea akikakazana kwa hasira
"wewe unamaana hunisikii ama" nilikuwa nipigwe banzi 😆 nilivyogeuka
"ah samahani mwanangu nimekufananisha"
Nusura ningepigwa makofi na yule maza tandam aisee😅
Hahaha ungeyachezea makofi ya kichwa Hahaha
 
Kuna mchezaji mpira wa timu ya Taifa la England!
anaitwa Birmingham!

Aisee amefanana na mwanangu copyright, sura,urefu,
Kibaya Zaid mwanangu nae anacheza mpira, ana 20yrs.

Watu wawili wawili kweli!
 
Back
Top Bottom