Swali: Wadau walikipa fedha chama au Heche? Kama walimpa Heche hakuna ufisadi

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Nimeona chawa wawili hapa Lucas Mwashambwa na jamaa yake wamefungua nyuzi za kumtuhumu makamu mwenyekitinwa Chadema John Heche kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha

Soma pia John Heche hasafishiki hata kwa Sabuni. Tuhuma zinazomkabili ni juu ya kuwekewa Fedha kwenye akaunti yake binafsi. Hizo zinapaswa kujibiwa na yeye

Ni wazi kwamba tuhuma hizi zilikuwa agenda ya mkutano mkuu zilizovuja kabla yakuja kutolewa ufafanuzi na katibu mkuu

Yote kwa yote mie niseme shutuma hizi kama zilivyojieleza ni kwama wale wadhamini walitoa fedha moja kwa moja kwa Heche kama ni hivyo basi Heche kala fedha zake full stop

Na kama ni fedha za chama Heche hahusiki kwa namna yeyote na mifumo ya fedha ya Chadema

NB: Hizi mbinu ya kumzofisha Heche kwa kuwatumia kina Bon Yai na Sugu zimekwama na sie tunasema Heche go go goool

Heche ni Mbappe mtupu
 
Heche kawashika masisiyemu pabaya sana. Pole zenu masisiyemu Lucas Mwashambwa na @tlaahtla
 
Hao wadau waliosema walimpa pesa Heche mbona hawajitokezi kusema walimpa kiasi gani na kiasi gani hakikufika?

Au akina Yericko Nyerere ndio vidampa wabeba mikoba wa hao wadau maana ndio wanapiga kelele tangu juzi tunasikia wadau wadau hao wadau hawana majina.?
 
Nimeona chawa wawili hapa Lucas Mwashambwa na jamaa yake wamefungua nyuzi za kumtuhumu makamu mwenyekitinwa Chadema John Heche kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha

Soma pia John Heche hasafishiki hata kwa Sabuni. Tuhuma zinazomkabili ni juu ya kuwekewa Fedha kwenye akaunti yake binafsi. Hizo zinapaswa kujibiwa na yeye

Ni wazi kwamba tuhuma hizi zilikuwa agenda ya mkutano mkuu zilizovuja kabla yakuja kutolewa ufafanuzi na katibu mkuu

Yote kwa yote mie niseme shutuma hizi kama zilivyojieleza ni kwama wale wadhamini walitoa fedha moja kwa moja kwa Heche kama ni hivyo basi Heche kala fedha zake full stop

Na kama ni fedha za chama Heche hahusiki kwa namna yeyote na mifumo ya fedha ya Chadema

NB: Hizi mbinu ya kumzofisha Heche kwa kuwatumia kina Bon Yai na Sugu zimekwama na sie tunasema Heche go go goool

Heche ni Mbappe mtupu
Boni Yai na Sugu, are not part of the scum
 
Kwani gentleman,
kule kwenye vikao vya ndani vya chadema, aliehoji kwamba kuna pesa ilichangwa na wadau na wafaddhili mbalimbali wa chadema huku yeye huyo anaehoji akiwa anashuhudia heche alikipokea na kutoa maelezo na maelekezo jinsi wadau hao wanaweza kumtumia pesa hizo yeye binafsi kwa namna mbalimbali ni nani? Ni nani alihoji hayo?

Na ni kwasababu zipi heche hakuziwasilicha pesa hizo chamani hadi ahojiwe kwenye kikao?

alikua na nia au lengo gani na pesa hizo?🐒
 
Hao wadau waliosema walimpa pesa Heche mbona hawajitokezi kusema walimpa kiasi gani na kiasi gani hakikufika?

Au akina Yericko Nyerere ndio vidampa wabeba mikoba wa hao wadau maana ndio wanapiga kelele tangu juzi tunasikia wadau wadau hao wadau hawana majina.?
Hakunaga iyo kitu bwashee
 
Hivi, Rais akienda mkoani akapewa Ngombe uwa anapeleka wale ngombe serikalini?

Au wanakuwa wa kwake?
 
Haku

Tunakuulza fedha kimepewa chama au heche
 
Hivi, Rais akienda mkoani akapewa Ngombe uwa anapeleka wale ngombe serikalini?

Au wanakuwa wa kwake?
wanakua wa serikali gentleman kwa mujibu wa sheria.

nikupe mfano moja rahisi tu,
ukienda kwenye majengo ya TBC taifa pale mikocheni opposite na Necta, utaona kuna mbuzi wengi tu mule ndani,

uliza hao mbuzi ni wanani ndani ya ofisi ya umma yenye ulinzi mkali sana?🤣
 
Kwani gentleman,
kule kwenye vikao vya ndani vya chadema, aliehoji kwamba kuna pesa ilichangwa na wadau na wafaddhili mbalimbali wa chadema huku yeye huyo anaehoji akiwa anashuhudia heche alikipokea na kutoa maelezo na maelekezo jinsi wadau hao wanaweza kumtumia pesa hizo yeye binafsi kwa namna mbalimbali ni nani? Ni nani alihoji hayo?

Na ni kwasababu zipi heche hakuziwasilicha pesa hizo chamani hadi ahojiwe kwenye kikao?

alikua na nia au lengo gani na pesa hizo?🐒
Ulikuwepo??!

Umbea na nyie madada poa wa Buza ni kama samaki na maji
 
Ulikuwepo??!

Umbea na nyie madada wa Buza ni kama samaki na maji
Kwani wewe gentleman,
hii porojo umeipata wapi hata ukakaa na kuiandiki bandiko na kupose kaswali useless kazushi?🤣

we uliskia wapi?
 
Gentleman,
ramli kivipi, fitina, uzushi, uchonganishi kivipi, na mambo hayo yamehojiwa ndani ya vikao halali vya Chadema?🐒
Swali: ulikuwepo humo kwenye hiko kikao?

Wewe: umetoa macho ka mjusi aliyebanwa na mlango

Wacha umbea nonsense bhana!
 
wanakua wa serikali gentleman kwa mujibu wa sheria.

nikupe mfano moja rahisi tu,
ukienda kwenye majengo ya TBC taifa pale mikocheni opposite na Necta, utaona kuna mbuzi wengi tu mule ndani,

uliza hao mbuzi ni wanani ndani ya ofisi ya umma yenye ulinzi mkali sana?🤣

Sasa mbona lile Ghorofa la Bububu wanakaa watu binafsi na sio watumishi wa serikali ? Haha au mbuzi ndio wanapelekwa serikalini ila majumba yanakua ya kwao
 
Back
Top Bottom