Swali: Wadau walikipa fedha chama au Heche? Kama walimpa Heche hakuna ufisadi

Swali: Wadau walikipa fedha chama au Heche? Kama walimpa Heche hakuna ufisadi

Hata kama Heche kazipiga kweli mbona Mwamba alipozipiga hatukusikia hizi kelele zote?

CDM ishapata hadi hati za ukaguzi zenye mashaka kutoka kwa CAG na hatukuwasikia hawa watu!

Sasa hivi ndiyo wana uchungu sana na pesa za chama?

Huu ni mradi tu unasukwa na muda si mrefu lengo lake litakuwa wazi C& P.
 
Back
Top Bottom