Heche kawashika masisiyemu pabaya sana. Pole zenu masisiyemu Lucas Mwashambwa na @tlaahtlaNimeona chawa wawili hapa Lucas Mwashambwa na jamaa yake wamefungua nyuzi za kumtuhumu makamu mwenyekitinwa Chadema John Heche kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha
Soma pia John Heche hasafishiki hata kwa Sabuni. Tuhuma zinazomkabili ni juu ya kuwekewa Fedha kwenye akaunti yake binafsi. Hizo zinapaswa kujibiwa na yeye
Ni wazi kwamba tuhuma hizi zilikuwa agenda ya mkutano mkuu zilizovuja kabla yakuja kutolewa ufafanuzi na katibu mkuu
Yote kwa yote mie niseme shutuma hizi kama zilivyojieleza ni kwama wale wadhamini walitoa fedha moja kwa moja kwa Heche kama ni hivyo basi Heche kala fedha zake full stop
Na kama ni fedha za chama Heche hahusiki kwa namna yeyote na mifumo ya fedha ya Chadema
NB: Hizi mbinu ya kumzofisha Heche kwa kuwatumia kina Bon Yai na Sugu zimekwama na sie tunasema Heche go go goool
Heche ni Mbappe mtupu
Boni Yai na Sugu, are not part of the scumNimeona chawa wawili hapa Lucas Mwashambwa na jamaa yake wamefungua nyuzi za kumtuhumu makamu mwenyekitinwa Chadema John Heche kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha
Soma pia John Heche hasafishiki hata kwa Sabuni. Tuhuma zinazomkabili ni juu ya kuwekewa Fedha kwenye akaunti yake binafsi. Hizo zinapaswa kujibiwa na yeye
Ni wazi kwamba tuhuma hizi zilikuwa agenda ya mkutano mkuu zilizovuja kabla yakuja kutolewa ufafanuzi na katibu mkuu
Yote kwa yote mie niseme shutuma hizi kama zilivyojieleza ni kwama wale wadhamini walitoa fedha moja kwa moja kwa Heche kama ni hivyo basi Heche kala fedha zake full stop
Na kama ni fedha za chama Heche hahusiki kwa namna yeyote na mifumo ya fedha ya Chadema
NB: Hizi mbinu ya kumzofisha Heche kwa kuwatumia kina Bon Yai na Sugu zimekwama na sie tunasema Heche go go goool
Heche ni Mbappe mtupu
Kwani gentleman,Nimeona chawa wawili hapa Lucas Mwashambwa na jamaa yake wamefungua nyuzi za kumtuhumu makamu mwenyekitinwa Chadema John Heche kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha
Soma pia John Heche hasafishiki hata kwa Sabuni. Tuhuma zinazomkabili ni juu ya kuwekewa Fedha kwenye akaunti yake binafsi. Hizo zinapaswa kujibiwa na yeye
Ni wazi kwamba tuhuma hizi zilikuwa agenda ya mkutano mkuu zilizovuja kabla yakuja kutolewa ufafanuzi na katibu mkuu
Yote kwa yote mie niseme shutuma hizi kama zilivyojieleza ni kwama wale wadhamini walitoa fedha moja kwa moja kwa Heche kama ni hivyo basi Heche kala fedha zake full stop
Na kama ni fedha za chama Heche hahusiki kwa namna yeyote na mifumo ya fedha ya Chadema
NB: Hizi mbinu ya kumzofisha Heche kwa kuwatumia kina Bon Yai na Sugu zimekwama na sie tunasema Heche go go goool
Heche ni Mbappe mtupu
Hakunaga iyo kitu bwasheeHao wadau waliosema walimpa pesa Heche mbona hawajitokezi kusema walimpa kiasi gani na kiasi gani hakikufika?
Au akina Yericko Nyerere ndio vidampa wabeba mikoba wa hao wadau maana ndio wanapiga kelele tangu juzi tunasikia wadau wadau hao wadau hawana majina.?
Kwani gentleman,
kule kwenye vikao vya ndani vya chadema, aliehoji kwamba kuna pesa ilichangwa na wadau na wafaddhili mbalimbali wa chadema huku yeye huyo anaehoji akiwa anashuhudia heche alikipokea na kutoa maelezo na maelekezo jinsi wadau hao wanaweza kumtumia pesa hizo yeye binafsi kwa namna mbalimbali ni nani? Ni nani alihoji hayo?
Na ni kwasababu zipi heche hakuziwasilicha pesa hizo chamani hadi ahojiwe kwenye kikao?
alikua na nia au lengo gani na pesa hizo?🐒
HakuHao wadau waliosema walimpa pesa Heche mbona hawajitokezi kusema walimpa kiasi gani na kiasi gani hakikufika?
Au akina Yericko Nyerere ndio vidampa wabeba mikoba wa hao wadau maana ndio wanapiga kelele tangu juzi tunasikia wadau wadau hao wadau hawana majina.?
Kwani gentleman,
kule kwenye vikao vya ndani vya chadema, aliehoji kwamba kuna pesa ilichangwa na wadau na wafaddhili mbalimbali wa chadema huku yeye huyo anaehoji akiwa anashuhudia heche alikipokea na kutoa maelezo na maelekezo jinsi wadau hao wanaweza kumtumia pesa hizo yeye binafsi kwa namna mbalimbali ni nani? Ni nani alihoji hayo?
Na ni kwasababu zipi heche hakuziwasilicha pesa hizo chamani hadi ahojiwe kwenye kikao?
alikua na nia au lengo gani na pesa hizo?🐒
Tunakuulza fedha kimepewa chama au hecheKwani gentleman,
kule kwenye vikao vya ndani vya chadema, aliehoji kwamba kuna pesa ilichangwa na wadau na wafaddhili mbalimbali wa chadema huku yeye huyo anaehoji akiwa anashuhudia heche alikipokea na kutoa maelezo na maelekezo jinsi wadau hao wanaweza kumtumia pesa hizo yeye binafsi kwa namna mbalimbali ni nani? Ni nani alihoji hayo?
Na ni kwasababu zipi heche hakuziwasilicha pesa hizo chamani hadi ahojiwe kwenye kikao?
alikua na nia au lengo gani na pesa hizo?🐒
nadhani,Haku
wanakua wa serikali gentleman kwa mujibu wa sheria.Hivi, Rais akienda mkoani akapewa Ngombe uwa anapeleka wale ngombe serikalini?
Au wanakuwa wa kwake?
Hakuna nini?Hakunaga iyo kitu bwashee
Ulikuwepo??!Kwani gentleman,
kule kwenye vikao vya ndani vya chadema, aliehoji kwamba kuna pesa ilichangwa na wadau na wafaddhili mbalimbali wa chadema huku yeye huyo anaehoji akiwa anashuhudia heche alikipokea na kutoa maelezo na maelekezo jinsi wadau hao wanaweza kumtumia pesa hizo yeye binafsi kwa namna mbalimbali ni nani? Ni nani alihoji hayo?
Na ni kwasababu zipi heche hakuziwasilicha pesa hizo chamani hadi ahojiwe kwenye kikao?
alikua na nia au lengo gani na pesa hizo?🐒
Kwani wewe gentleman,Ulikuwepo??!
Umbea na nyie madada wa Buza ni kama samaki na maji
Nonsense,Kwani wewe gentleman,
hii porojo umeipata wapi hata ukakaa na kuiandiki bandiko na kupose kaswali useless kazushi?🤣
we uliskia wapi?
Gentleman,Nonsense,
Huo ni uzushi, uongo, fitna na ramli chonganishi
Swali: ulikuwepo humo kwenye hiko kikao?Gentleman,
ramli kivipi, fitina, uzushi, uchonganishi kivipi, na mambo hayo yamehojiwa ndani ya vikao halali vya Chadema?🐒
Hili shugamami liongo kwelikweliSwali: ulikuwepo humo kwenye hiko kikao?
Wewe: umetoa macho ka mjusi aliyebanwa na mlango
Wacha umbea nonsense bhana!
Kwani wewe gentleman,
hii porojo umeipata wapi hata ukakaa na kuiandiki bandiko na kupose kaswali useless kazushi?🤣
we uliskia wapi?
wanakua wa serikali gentleman kwa mujibu wa sheria.
nikupe mfano moja rahisi tu,
ukienda kwenye majengo ya TBC taifa pale mikocheni opposite na Necta, utaona kuna mbuzi wengi tu mule ndani,
uliza hao mbuzi ni wanani ndani ya ofisi ya umma yenye ulinzi mkali sana?🤣