SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.

Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?

Naombeni majibu.

Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke

Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.

Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.


Mrs Jr.
 
subiri majibu, utachoka, vumilia !
 
Mtudekeze ,mtupe pesa, muwe wasafi
 
That is nature,,,,Mkuu. Kwa hiyo siyo wao bali ni asili yao ndiyo maana. Kuloga ni uamuzi wako tu,,,dawa ziko nyingi sana. Kuna tego pia ingawa hiyo ni hatari sana kwa 7bu inapurura ukoo mzima.
 
Ni ngum sana kuacha kuchepuka

Wengine ni hulka tu, wengine wanaiga, wengine anachepuka tu kutokana na madhila ya wewe kama mkewe unayomfanyia

Wasiochepuka ni wachache sana

Kama mwanaume anakutimizia mahitaji yako yote haina haja kuhangaika naye muhim kumkumbusha tu awe makini na mambo yote

Ndio mana hata sisi upande wetu umehalalisha kuoana wake wanne mwisho na vizur mtu kjanza na wawili unadhani kwa sababu gani???
 
Sawla siyo tupewe kitu bali nimfumo wa maisha ya binadamu na ni inbuilt tumeumbwa hivyo vumilia kidogo.
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…